Recent content by Samstudio

  1. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Tumbaki (TTPL) Morogoro Kufungwa?

    Chenye kudhuru kikiondolewa basi mmeepushwa madhara.Long life Tanzanian
  2. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Nayakumbuka maneno haya ...Wewe nakufunga kwa mkono wa shoto ...Zina moto mpe jiti asukumie ...Leo ntakunyima usingizi ...Kesha lowana ...Nakutolea kete__na hunifungi ...Nipeni gazeti nisome (akichelewa kucheza) ...Ukitoa droo nakufanyia goli ....Nakufunga bila kingi .Kuna wengine yan ndio...
  3. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    Madem wenye tako,Wafanyakazi bank hasa CRDB,. Wanaoishi dar yan naamin wanahisi ndio Ulaya
  4. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    Waliopata vitambulisho vya taifa (National ID)
  5. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Kuomba uanachama JF

    Kitambulisho inbox plz
  6. Samstudio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akaninunulia Konyagi, nilipolewa akatembea na mke wangu. Nikazinduka na kumkuta jamaa kiunoni

    Pole sana.So uligongewa nyagi
  7. Samstudio

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank wamefanya kosa dogo sana lakini wanaweza kushitakiwa na hii kampuni ya Canada muda wowote. They might end up paying millions of shillings

    Ila ukiwa kampuni unaishi kwa sheria yan kila kitu ni hati miliki kushtakiwa njenje
  8. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Pesa ya kutolea (Mobile Money Account) inapaswa kuwa calculated automatically na system. Telecom Engineers ongezeni ubunifu.

    Tatizo umeexpose idia ukimaanisha unawashauri.Naushauri wako wameufanyia kazi unastahiki thanks na kama watataka kukushika mkono basi iyo ni option kwao.
  9. Samstudio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa breaking bad, El camino imetoka jana

    Haya fanya uicheki 13 reasons why kisha ulete feedback
  10. Samstudio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Prison Break vs Money Heist

    Kabla hujaifikia prison break hapo kati kuna breaking bad.Yaani 1.Prison Break 2.Breaking Bad 3.Season unayoiona wewe kali
  11. Samstudio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu kwamba mpaka sasa Tanzania hatuna mfumo wa kupokea pesa kwa Paypal

    Paypal ni popular kwenye payment hasa kwenye online marketing payment system.Kwa mimi nilichoambulia ni REFUND iliingia ndani ya siku 3 direct kwenye account CRDB.Kuna kampuni ya tetwork hapa bongo inapokea pasa kwa paypal nakawauliwa how majib ninkwamba et sasa inakubali...Kwakweli sijajua ki...
  12. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo

    Mwenyezi Mungu haizurumu Nafsi ya mtu wala watu hawahukumiwa isipokuwa baada ya kufikishiwa ujumbe.Mungu anakua tusiyoyajua wala hana haja yakuuliza wewe ulifanya nini sababu habar zote anazo.Mwenyezi mungu anadil na moyo huo ndio unabainisha nini dhamira yako.
  13. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Tujuzane hali ilivyo kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura hapo ulipo

    Kura wakati viongoz wanateuliwa.....Wengine hali ya hewa mvua...Binafsi mzuka wa kura sina ukizingatia national id tayr ninayo
  14. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji huyu huyu amekua na upako wa kuangusha watu?!

    Njoo uupate upako wa Makonda
  15. Samstudio

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Yaliyopita sindwele
Back
Top Bottom