mkuu hongera sana kwa swali lako japo lina utata na wengi huenda
chaka kwa kufuata mafundisho ya
vitabu vya dini..
Kwanza kabsa naomba nikujulishe kuwa ,
katika ulimwengu unaoishi kuna layer nyingi sana zinazoruhusu life proliferation( muendelezo wa maisha) kulingina na concious awareness ya kiumbe atakayokufa akiwa nayo..
Siku nikipata muda nitatolea ufafanuzi juu ya
parallel universe na zina kazi zake katika kuruhusu maisha
yaendelee..
Kwanza kabsaa naomba nikuambie tu kuwa
once a soul is created and formed,it can not be destroyed but it is transformed from one parallel universe to another (
nafsi yako inayohusiana na kubeba ufahamu wako ikishaubwa na kuruhusiwa kuja hapa duniani,hauliwezi kamwe kuharibiwa lakini itahamishwa makazi tofauti kutokana na ufahamu iliyopata kuujua hui ulimwengu ulivyo)
This is a great mystery...ni wachache wanalijua hilo..
Hivyo basi katika ulimwengu huu unaoishi ,kuna
limwengu zingine nyingi tu ambazo zinaruhusu maisha ya
nafsi na roho kuishi kulingana na uwezo (
concious awareness nafsi imepata kujua jinsi nature ilivyo)
Sisi binadamu tunaonana kwa sababu tunaoccupy two presences(
uwepo wa soul form na body form) ,.
Hivyo ukifa roho yako na mwili wako hutengana ndipo rohoyako kuruhusiwa kuingia kweny
universe yenye parallel flani ambayo inaruhusu soul
(nafsi au awarenesa zenye level flani ya ufahamu)
Ikumbukwe kuwa kila concious awareness flani ina makazi yake(
parallel universe flani) kulingina na concious awereness uliyopata kujua
kabla hujafa.
unapozaliwa na kuanza kukua unakuwa unaona au unapersive vitu katika
2D( two dimension awareness) ila kadri unavyokua unaingia kwenye
3D na hapa ndi mwanadamu anakuwa na uwezo wa kuanza kutambua mazingira( manake nini wewe unaesoma hii thread upo katika
3D awareness)
ukifa tayari roho yako yenye
subconcious form in nature inashift to another plane(
universe nyingine yenye dimesion kubwa zaidi)
ukiwa kwenye dimension kubwa tayari unakuwa umeachana na plane moja ya universe na kuingia another plane of reality depending with your subconcious awareness uliotoka nao huko..
View attachment 864464
kwa hiyo ukifa unaingia kwenye higher dimensions of life form na kila plane of reality inahabour roho zenye conciousness flani ziliyotoka nayo huko duniani kwenye
3D ( three dimension awareness).
View attachment 864472
Hivyo basi kabla hujafa unapaswa kuwa umefikia level flani ya
conciousness awareness ambayo itakufanya uweze kuingia kwenye
plane ambayo ni more advanced than uliyokuwa nayo...hapa ndipo ule usemi unaosema kuwa
when you attain knowlege ,you get awareness and this awareness will determine your life plane soon after death..
kwa hiyo maisha baada ya kifo yanaendelea kulingana na
knowlege uliyotoka nayo..
Kuna watu wanawadanganya wengine kuwa eti ukifa au tukifa wote tunakuwa sawa,...
no no no big no..kama ni hivo kina
Billgate na
Jeff bezos wasingekuwa bize kukusanya
pesa na uelewa wa jinsi dunia ilivyo..
ifahamike kuwa mwenye pesa tayari anakuwa na
access ya kujua jinsi ulimwengu ulivyo hence anakuwa na knowlege ya kutosha ya kumfanya
aingie kwenye kwenye 5D before hata hajafa kitu ambacho kitamfanya atakapokufa atakuwa kwenye another higher level of dimensions kuliko
mimi na wew
Nampulilampi 
Hivyo ni jukumu lako hasa kutafuta knowlege kubwa au uongeze maarifa juu ya jinsi ulimwengu ulivyo kwani ni faida kwako badae..
View attachment 864496
Unavyoona utofauti wa maisha huku duniani ndivyo
ilivyo katika higher life dimensions baada ya kufa..usione wenye pesa wanazidi
kununua ufahamu zaidi jinsi dunia au ulimwengu ulivyo halafu wew ukawadharau na kusema wote tutakufa..
by the way there is no death kama unavofikilia just transformation ya recognition katika awareness yako ambapo roho inaingia katika another level of dimensions baada ya kuachana na mwili..
View attachment 864497
kwa hiyo maisha baada ya kifo ni mwendelezo wa awareness uliyotoka nayo kuku duniani..
sisi tunaonana kwa sababu tupo tunaview things katika mfumo wa
2D au 3D hivyo utakapokuwa na uwezo wa kuanza kuview things katika
5D au 8D hakika utakakuwa unaona species au creatures katika mfumo wa hali ya juu katika maono makubwa kabsa(
na viumbe watakuwa wamegawanyika matika makundi tofauti tofauti depending na aina ya awareness muliyotoka nayo before death...
mfano mzuri ni uwepo wa Ghost Hitch hiker (mizimu inayotembea au kuwatokea watu) katika maisha yetu..mara nyingi mtu akifa anashift katika another plane of reality na huko anakuwa amekwenda anakuwa under guided by universal laws zinazoguide roho au mtu kuwa katika level ile na haiwezi kukuruhusu urudi tena duniani ( ndo mana mtu akifa amekufa,) ..there is no turning back unless it is hoax...