Recent content by samstevie

  1. samstevie

    Updates: Mkutano wa CHADEMA Mtwara Ukiongozwa na Tundu Lissu

    Mwaka tu tutaona tu na ule wizi wa masanduku ya kura sijui wanakuja watatumia mbinu gani kuhadaa wananchi.
  2. samstevie

    Bomu la Arusha: Gari la Polisi PT 1179 lilitumika

    tuambie na wale waliomuua mwangosi iringa walikodiwa kutoka somalia? Maana ushahidi wa picha tumejionea kwa macho wetu
  3. samstevie

    Aliyeuza ubunge chadema kutumika kuandaa ugaidi.

    Na bado tutaendelea sana kushuhudia haya mazingaombwe kabla ya 2015
  4. samstevie

    Ripoti ya kutekwa, kuumizwa Kibanda hii hapa

    Hapo napo ni muhimu kuinvestigate...
  5. samstevie

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Ndugu unaonesha una upungufu mkubwa sana wa kufikiri (poor thinking capacity) siku nyingine nakushauri usiwe bingwa wa kudandia hoja......Kajifunze kwanza unadhalilisha jukwaa letu.
  6. samstevie

    Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    heri yako wewe uliyewekeza kwa kununua hisa kwa mwenzio source ya hiyo fund haijulikani its better to report for her good sake........
  7. samstevie

    Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    Nimelazimika kuchangia uzi huu, dada ni vema ukacheki bank statement ili upate taarifa rasmi juu ya balances ilizozikuta.... huenda ni misposting kama mdau mmoja alivyoshauri, me nafanya kazi bank nina uzoefu na vituvya namna hii kwani mabenki pia yanaajiri watumishi wapya na tella anaweza...
  8. samstevie

    DEMU ALINITOSA LEO,ANANILILIA ,nisaidien wakuu.

    Kwa kifupi huyo demu ni opoturnist anaangalia uwezo wa kifedha huyo hakufai tafuta mtu wa maisha yako hapo bila bila.
  9. samstevie

    Dk. Bana awajia juu CHADEMA/CUF kuhusu M4C & V4C

    Orijino komedi was session yao inaitwa LE PROFESSERI huyu mzee naona anasadifu mazingira hayo.
  10. samstevie

    Mume wa mtu kaning'ang'ania......

    Tena kwa wasichana wa siku hizi akipata mtu mwenye fedha zake wala hajiulizi mara mbili kwa mazingira aliyojieleza ni wazi anatughiribu tuegemee upande wake. Binti jiheshimu tafuta kijana mwenzio. Hebu vaa viatu vya huyo binti yake ambaye unadai ni best yako; fanya hayo anayafanya baba yako...
  11. samstevie

    CHADEMA ARUSHA WAIGOMEA POLISI - Mkuu wa wilaya na mpango wa Kufunga uwanja wa NMC leo jioni

    Hata mimi nakuunga mkono mkuu, magamba wanaweza kutumia mwanya huu kuathiri maamuzi ya kesi ya tarehe 20.
  12. samstevie

    JAJI MKUU atua Arusha kwa Lema

    tunataka kuona haki ikitendeka
  13. samstevie

    Ukweli juu ya m4c ya CHADEMA na sensa inayoendelea-ufanisi v/s kukubalika

    Wakina Nape wanaona noma kusimama majukwaani kuhofia kutoungwa mkono na majority so wanawatumia polisi wao kudhibiti kundi la watu ambao hawana nia mbaya kwa jamii. Mimi nasema mwisho wa ubaya ni aibu, CCM watavuna walihokipanda ifikapo 2015 nadhani wananchi wana nafasi kubwa ya kulipa kisasi...
Back
Top Bottom