Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

Yaani sweetie, nimecheka mpaka machozi. Maana katika vituko vyako vya huko mabatini ya leo kali; sasa ulimshaurije?
 
Eiyer kuna watu hawatakuelewa humu............... I bet

Ukweli ni kwamba binadamu tuwanafiki sana kuna watu humu hadharani husema katu, lakini sirini hufanya kweli. Mara nyingi nawaona watu humu wakibisha juu ya jambo fulani huku wakitoa povu kinywani kwamba haiwezekani, lakini bahati nzuri huja waungwana na kukiri kwamba jambo hili limeshawahi kuwatokea...... Sasa mnabisha kitu gani. Mapenzi ni kitu kingine kabisa kuna watu hufanya mambo ya ajabu kabisa wakiwa chumbani na wenzi wao, lakini wakiulizwa utawasikia "Akuu over my dead body" Nyoo acheni unafiki bana........................LOL
 
Last edited by a moderator:
aaaaah Jamani. Mbona wanawake wanawafanyia meeengi. hilo tu la kumtawaza mnaona kuuuubwa. Kweli mapenzi kila mtu na yake.
Hako ni kasehemu tu ka Burudani jamani. Si lazima ushike nya. si kuna vifaaa vya kutawazia siku hizi!!!!!. Unatoa nya kwa kifaa halafu unatupia mkono maeneo na mambo yanakuwa shwaaari kabisa. Usilofanya wewe wengine wanafanya. Kasema anaona raha huyo mwanamke. sasa mapenzi si ni kupeana hayo maraha. Mwache ampe raha.
 
Rafiki hiyo choo kubwa, aa hiyo mbaya hapakushika rafiki mimi nawesa kusafisha boma ya ngombe ila siyo choo kubwa ya mama totoooooo
tena nasikia ile ingine analamba hiyo kijambio hivi ni sawa kweli
 
Eiyer kuna watu hawatakuelewa humu............... I bet

Ukweli ni kwamba binadamu tuwanafiki sana kuna watu humu hadharani husema katu, lakini sirini hufanya kweli. Mara nyingi nawaona watu humu wakibisha juu ya jambo fulani huku wakitoa povu kinywani kwamba haiwezekani, lakini bahati nzuri huja waungwana na kukiri kwamba jambo hili limeshawahi kuwatokea...... Sasa mnabisha kitu gani. Mapenzi ni kitu kingine kabisa kuna watu hufanya mambo ya ajabu kabisa wakiwa chumbani na wenzi wao, lakini wakiulizwa utawasikia "Akuu over my dead body" Nyoo acheni unafiki bana........................LOL

Khaaa.Mie sijamuelewa kabisaaa.na nasema kweli mio sio mnafiki ila siwezi mambo kama hayo..na wala siwezi mwabia mwenzangu afanye hivo
 
Yaani sweetie, nimecheka mpaka machozi. Maana katika vituko vyako vya huko mabatini ya leo kali; sasa ulimshaurije?

Sweetie,masika yanataka kuanza naanza "strateji" ya kupambana na mafuriko huku.Kuhusu namna nilivyomshauri hayo niachie mimi na yeye,we jifunze kupitia yeye!
 
Eiyer kuna watu hawatakuelewa humu............... I bet

Ukweli ni kwamba binadamu tuwanafiki sana kuna watu humu hadharani husema katu, lakini sirini hufanya kweli. Mara nyingi nawaona watu humu wakibisha juu ya jambo fulani huku wakitoa povu kinywani kwamba haiwezekani, lakini bahati nzuri huja waungwana na kukiri kwamba jambo hili limeshawahi kuwatokea...... Sasa mnabisha kitu gani. Mapenzi ni kitu kingine kabisa kuna watu hufanya mambo ya ajabu kabisa wakiwa chumbani na wenzi wao, lakini wakiulizwa utawasikia "Akuu over my dead body" Nyoo acheni unafiki bana........................LOL

Hili hata mimi nimeshaligundua,hawajui kukuba jambo ni uungwana na unajipunguzia kero na mzigo wa kulificha!!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!! ama kweli kuchamba kwingi ...............
 
Dena Amsi,wewe ndo umekosea kiswahili fasaha sio Ramba ni Lamba.Kuhusu ku-prove we subiri tu utaona!
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana kitokacho mbele ni kichafu zaidi kuliko kitokacho nyuma kwa kuwa wa nyuma unajulikana ni mabaki ya chakula.Kitokacho mbele hakuna ajuaye fika kina nini ndani yake.Kwa hiyo sioni tatizo hapo kwani kila mtu ana kiwango chake cha kinyaa.NO OFFENCE
 
Rafiki hiyo choo kubwa, aa hiyo mbaya hapakushika rafiki mimi nawesa kusafisha boma ya ngombe ila siyo choo kubwa ya mama totoooooo
tena nasikia ile ingine analamba hiyo kijambio hivi ni sawa kweli

Mbona yako unashika bana??
 
Back
Top Bottom