nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
walienda wana majibu ambayo waliyachukua hapa, na bahati mbaya au kwa makusudi wameshindwa kutumia mawazo yetu humu kama Hypothesis na kuja na majibu yakinifu !Kwamba walikaa wakapika riport kwa msaada wa JF?
wameishia pale ambapo wana JF wengi waliishia.