kweli ccm imeshikwa pabaya badala kufanya maendeleo kwa wananchi they are using alot of our money just to do stupid things. Hawa maccm wanatakiwa waondoke madarakani. Wataondokaje ni mimi na wewe na yule kutoa elimu mahali npopote ulipo.
yaani shitambala pamoja na njaa aliyonayo anataka kuongeza matatizo mengine ! Hana uwezo huo na huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwa siasa za mbeya ! Mbeya siyo ndago !
Sambwee Shitambala... Hafiki popote na huo mradi wao wa ''ugaidi'' kwakuwa wameshindwa kabla hawajaanza kuutekeleza.