Recent content by sambestman

  1. S

    JamiiForums Tanzania Pinda afunguka: Polisi wavunjanji sheria na haki za binadamu, amgeuka Kikwete

    mene meme tekeli peresi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha Waislam chatawanywa kwa mabomu Mnazi mmoja - Dar

    waacheni wakusanyike wakiwa wengi ndo muwapige mabomu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Regina Mwalekwa hopeless kabisa

    Aliyesema clouds radio ya burudani ni muongo..ilikuwa radio ya burudani zamani enzi za kina jide, masoud, rayc na marehemu amina chifuta siku hizi ni redio ya majungu fitna na watu wenye akili finyu wanaojifanya kuchambua mambo wasiyoyajua wala kuwa na ufahamu nao ...mfano kipindi kama jahazi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini ilikuwa dhamira ya gazeti la MWANANCHI?

    Ninasoma hapa gazeti la mwananchi nimechanganyikiwa kila siku walikuwa wanariport kuwa mke wa kigogo katapeli akishirikiana na bwana anayeitwa Baraka nashangaa leo wamebadilisha na kuandika kwamba eti huyo mke wa kigogo ni miongoni wa waliotapeliwa!! najiuliza kama mwanzo walisema nafasi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Kama mbowe ameweza kuendesha club kwa mafanikio .....ameongoza chama ambachomekua chama makini kiasi cha kuogopesha na kuitesa cc na serikali....ameweza kuongoza ndugu zake kutunza na kuendeleza mali za marehemu mzee wake.....anaongoza kambi ya upinzani bungeni kwa mafanikio, anamuongoza mke...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waswahili Walisema Ndoa........!???Cheki Hii!

    kaka yako dhaifu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hivi rasilimali zinaviziwa na wafadhili ya CHADEMA? Rasilimali gani maana nijuavyo mimi rasilimali zinachukuliwa waziwazi chini ya utawala wa CCM...au CCM imeona kuwa chadema wameingilia dili lao la ukuwadi wa rasilimali zetu...mwaka huu tutaona mengi....mbona mwenyekiti wa CCM ndiye mara kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Ulimboka: Niko fit!

    mkasome zaburi 17
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

    Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kamanda Freeman Mbowe kusimamia changisho la M4C leo serena hotel...

    Mnapingana na chadema au mnapingana na wachaga? Miaka yote wachaga wamepigwa vita wasiendeshe hii nji na kuwapunguza makali kwa maneno mengi kuwa ni wezi nk....lakini kwa ushujaa walio nao wameweza kuwa muhimili wa uchumi wa nchi na kabila lenye maendeleo katika nyanja zote ikiwemo kiuchumi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Harakati za Chadema na mbinu za kuchukuwa dola

    System at work
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tigo ni wezi??

    Wadau naomba msaada jana nimeweka vocha kwenye number yangu ya tigo mara mbili na ikawa inaisha bila mimi kupiga simu ....hawa tigo ni wezi au ni mauzauza yalinitokea?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo: "chadema sasa yafutwa rasmi"

    ama kweli chenye mwanzo kina mwisho ...kila nikisom michango ya wanaccm wenzangu naona ni kataka tamaa viva ccm though we are dying softly
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    kwa mtu yeyote asiyejua tabia za wanyeramba Mwiguli anaweza kumpa shida sana.....wengi wao akili zao siyo kwa sababu wamekulia kwenye tembe na wameathiriwa na upepo mkali na vumbi.....hivi huwa hamumuonagi akitaka kutoa mchango wake bungeni anavyopata shida? Mwenzake tundu lisu ni mnyaturu ndo...
Back
Top Bottom