ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,013
- 7,209
Revision notes...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pro cdm huwa hamna hoja zaidi ya kutukana
..'mchakato unaendelea'' ,''tuko mbioni '', ''tunajipanga kulifanyia kazi'', ''mawazo tumeyapokea ,''serikali yenu ni sikivu'', ''hili tumelichukua'', Tumejipanga kikamilifu, Hilo tatizo litakua historia,Tuwe wavumilivu kwa mda huu mfupi,
Tume imeundwa kuchunguza tatizo,..... tunafanya upembuzi yakinifu,tuna mkakati kabambe,tuvute subira.............
Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanafwata ushabiki kwenye siasa mana jamaa ametoa uchambuzi wa maana ila watu wanajaribu kukosoa.Kwa wasomi wazuri wa sheria wanaona ukwel na ata lisu anajua ukwel ila anaupindisha anayebisha atakuwa ana mawazo chakavu na aniandikie no. ili tubishane vizuri
Wanabodi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kinafanya harakati na mbinu kuchukuwa dola lakini kuna mapungufu mengi sana ambayo ni kikwazo bahati mbaya Chadema wenyewe hawatambui hivyo vikwazo ndani ya chama chao..
Chadema bado wanategemea wanachama wasiotabirika, wanachama wake ni wale wanaoingia wakati wa mikutano ya hadhara na maandamano, Chadema wamekosa uhalali wa mtawanyo wa wanachama hai katika kila kona ya nchi.
Chadema baada kupata mafaniko katika uchaguzi mkuu uliopita wamejikuta wakihodhi wajibu wa jamii kisiasa kwa niaba ya vyama vingine wakihisi kwamba wao ni bora zaidi mbele ya jamii kuliko vyama vingine vyote nchini..
Chadema mpaka sasa hawajawa na uhakika wa jinsi ya kumpata kiongozi wa juu katika nafasi ya Mwenyekiti au Urais kutoka kanda nyingine, Chadema kimeweza kupata umaarufu kisiasa lakini bado wanakabiliwa na tatizo la umakini, uzoefu na mbinu nina hakika uteuzi wa mgombea urais kutoka Chadema ataleta mtarafuku mkubwa ndani ya chama hicho viongozi wa Chadema kutoka kanda zingine hawataafiki mgombea urais atoke eneo moja tu kila uchaguzi.
Chadema inasumbuliwa na kasumba ya ubinafsi na upendeleo wa kifamilia, Chadema wamejikuta wakipiga teke demokarasia ndani ya chama chao na wabunge wake wa viti maalum wengi wao wanatoka katika koo za waasisi wa chama.
Ah. Jamaa umeanza kuagua! Kwani CDM kuna uchaguzi wa mwenyekiti? ama CDM ndio wanateua mgombea urais sasa? Inavyoonekana kwa mawazo na mtazamo huu wa kuishi kwa hisia za kupandikiza fitina na tukiwaamini hawa nchi hii ni vigumu kuendelea.Wanabodi.

Mkuu Ritz una maoni mazuri na chokonozi juu ya CDM ambayo yatasababisha Mnakasha hasa kuhusu nafasi ya mgombe Urais na Uenyekiti wa CDM. Ila sasa subiri haki kutoka kwa jamaa wa CDM ambao wanadhani kila anayeikosoa CDM basi ni mgomvi wao.
Mimi nadhani wewe ndio una matatizo.. Kwa mtu yeyote anayeitazama nchi hii kwa Ukanda nadhnai yeye ndiye mwenye matatizo kwa sababu unategema mtu kutoka kanda nyingine atawezesha maendeleo kanda yake..Haya ndio makosa makubwa ya Muungano wetu na Zanzibar..Wanabodi.