Join Date : 30th July 2012Yaani film ndo ziratibiwe na Wanaharakati, SAID KUBENEA na REGINARLD MENGI? nini kimejificha nyuma ya pazia? kwa nini wale waliokuwa wakiizushia Serikali kuwa ndiyo imehusika ndiyo hao hao wanaoandaa film hiyo na mapokezi ya Ulimboka? Watanzania wenzangu nadhani tuna jambo la kujifunza hapa. CDM si chama cha Siasa, Hellen Kijo Bisima siyo mkurugenzi wa Kutuo cha haki za binadamu, Ananilea Nkya siyo Mwenyekiti wa TAWLA. Hao ni hatari sana kwa mshikamano, amani na utulivu wa Taifa letu. Lazima tujifunge vibwebwe kuhakikisha hatuliingizi taifa katika machafuko kwa sababu tu ya uchu wa madaraka, wivu wa kishenzi na Ukabila ulioota mizizi. 2015 bila ZITTO, CDM ifie mbali huko.
Posts : 150
Rep Power : 393
Likes Received14
Likes Given1
naanza kuwa na mashaka na uelewa wako.kama ulipita shule inawezekana ikawa ya kata.
MAMA nkya ni Mkurugenzi wa TAMWA na sio TAWLA