Dk. Ulimboka: Niko fit!

mwambie aliyekutuma ailoweke akili yako kwenye jik ipate weupe wake wa asili! usitutafutie ban!

Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.
 
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.

taratibu mtaelìmika tu very soon, hata hivyo watu wa aina yako mmebakia wachache sana.
 
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.

After reading all your comments I have come to the conclusion that you are either ACP Kova or Ramadhani Ighondu or Ahmed Msangi.

My two cents advise to you, go back to the drawing board if you real want to be a sensible and good SPIN DOCTOR. Good luck!
 
Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.
Kweli? Ulimboka ndiyo kasababisha hilo janga? 2.jpg
 
Dr mbayuwayu ndie janga la taifa letu na soon tutalitua tu,Roho za watanzania zinapotea kwa huduma duni ambayo serikal yko imeweka...Ulimboka alikuwa anawasaidia waTZ waondokane na hyo adha kwa kuitaka serikal kuboresha!Yan Jayk ni mzigo tena wa misumar
 
wabongo kumbe bado sana,watu wanaongea ongea tuu...we unajua waliokufa ni wangapi kabla ya mgomo wa madaktari kwa kukosa vifaa vya kuwatibia au madawa kwa uzembe wa serikali??
Acheni ujinga mnacoment ujinga ujinga tu
 
Wapigania haki duniani mara nyingi hawafaidi wao, bali hufaidi wengine. Nchi hii ina watu wachache sana, wanaoweza kuthubutu, nao ni kama Dr Ulimboka. MUNGU AKUREHEMU DR.

Mkuu ulimaanisha kuwa MUNGU Amubariki au AMREHEMU kama ulivyoandika? Tafakari
 
Hakuna Mungu anayemwamuru mtu kugoma, acha kukufuru wewe, Shetani huyo alimtuma, ila Mungu kamponya ili arudi apime kama alichokuwa akiwafanyia wanyonge kinastahili kweli.

I have liked your one sided analysis: Mgomo ni kuumiza wanyonge tu.
mengine.....

Umeshajiuliza kwa nini wabunge hawajagoma?
 
Siku zote nguvu za giza na mabavu haziwezi kushinda nguza za Mungu/nuru.Mungu kamponya kiumbe wake atamchukua muda atakaotaka yeye.Tunakutakia afya njema na pole kwa mateso na maumivu yaliyokupa Dr Stiv,naamini damu mateso na uchungu uliyopata wewe mama, baba na watanzania kwa ujumla havitapotea bure.Kuokotwa kwako na kupelekwa katika kituo cha matibabu na kupona tuna weza sema sii juhudi zetu bali ni mpango na uwepo wa Mungu na anakusudio juu yako.Sifa na utukufu ni kwako eebwana.
 
Kweli Mungu ametenda miujiza! watekaji wa dr. walidhani wamemaliza kazi waliyotumwa kuifanya! walishindwa kwa uweza wa Mungu! ahsante MUNGU!
 
Zamani sana tulikariri hii!!!
Guy Never Die,
If Die never Decay,
If Decay never Rot,
If Rot never Smell,
If Smell smells Perfume!
 
Akili yako haina tofauti na ile Mkurugenzi wa TAWLA. Anaacha kufanyakazi zinazoendana na kazi yake anajipendekeza kutafuta Mume, hivi hajui kuwa Ulimboka ana mke? Aje kwangu mimi Bachelor. Watoto wa kike wanaripotiwa kuozwa na wazazi wao na kuacha shule, Wanawake wanazalishwa na wanaume kuwakimbia, watoto wa kike wanabakwa. Hayo ndiyo yanahusu shughuli zake, badala yake anakimbili kuvaa mabango ya kumpokea Ulimboka ambaye ni janga kwa wagonjwa wa hali ya chini.

Weredi wako kidogo unasumbua!
Wakati wengi tukiamini kuwa anatetea huduma bora kwa kila mtanzania hasa yule wachini asiye weza kumudu kwenda nje kwa matibabu.

Wewe unaongelea kinyume kabisaaa...!
Wakati WENGI TUNAAMINI vifo vingi vya watu wa hali ya chini vingeweza kuzuilika iwapo serikali ingeamua hivyo na kutoa kipaumbele katika hilo na hilki ndicho kinachosimamiwa na hawa madr wenye weredi wakutosha.
 
God is good all the time. Welcome back Dr. Ulimboka mapambano ndo kwanza yanaanza hakuna kulala mpaka kieleweke. Walikuwa wanajaribu kuzima moto kwa kutumia petrol sasa ngoja waone kazi ya petrol nini katika moto
 
Kukosekana kwa vitendea kazi Katika hospitali zetu chanzo ni Dr. Ulimboka? Suala la kumotisha watenda kazi ni lake? Acheni kuwa wanafiki kutetea mapungufu ya serikali kwani haiwezi kujirekebisha bila kuieleza mapungufu yake. Mara ngapi na watanzania wangapi wanakufa kwa kusekana kwa dawa na vitendea kazi? Na kupelekea ndugu wengine wa marehemu kujinyonga. Watawala kwa kufahamu hilo wanawahi ughaibuni kutibiwa kwa kodi zetu. Yawezekana mnaotetea na kuficha mapungufu ya serikali humu JF ndiyo chanzo cha matatizo yote yanayotusa leo.
 
Watanzania bwana , tunafurahia kuona wengine wakipambana katika ujinga. Hivi suala la mgomo ni la kufurahia kweli, ili watu wa hali ya chini waendelee kudhurika au?

Wanasema akili ni nywele kila mtu ana zake; inawezekana wewe huna nywele!! pole
 
Najua anaongea tu lakini moyoni mwake hana hamu...

Tuache kusema hayo maneno bwana....yanaonyesha mapungufu somewhere...tugange yajayo maana sidhani kama yanabadili lolote katika haya yanayoendelea.
Tanzania kwanza...nothing personal kama Tanzania ni gang la mafias.
 
Kwa nini uwe nyuma yake , na usitangulie mbele yake? teh teh teh , acheni kumdanganya Ulimpoka asije akaingia Mkenge tena, kitendo alichokuwa akiwafanyia wagonjwa Mungu hakipendi, bali kinapendwa na wanaharakati, wanasiasa uchwara na watu wanaopenda kuona vurugu zikitokea nchini.

Pengine I miss a point...hivi huyu jamaa ni tatizo kama hivi mnavyotaka kusema? Mbona ni mtu wa kawaida sana...kwanini aonekane ni threat au tatizo?
 
Back
Top Bottom