Recent content by salmitah

  1. salmitah

    Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

    Sasa, hizi pesa za Tanzania zinatengenezwa wap!?
  2. salmitah

    Fahamu kidogo kuhusu mtu aliyekufa kwenye "Coma" kama anaweza kuzinduka

    Kwa hiyo huyu mtu viungo vingine kama ini, figo vinaendelea kufanya kazi?
  3. salmitah

    Ni Mkenya au Mtanzania, yupi anayeweza kutupa maana ya methali hii?

    Inafaa hili kuwa ndo jibu lenyewe. Maana "akila hu na akila ha"lazima ikufaye mtu uumize kichwa kupata jibu
  4. salmitah

    Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

    Kama utaratibu utakua kama huu was Leo. Wahi kufika mapema, kunywa maji mengi, andaa nguvu za kutosha!
  5. salmitah

    Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

    Inaonesha ni jinsi gani vijana hawana ajira za maana.
  6. salmitah

    Baraza la mitihani latangaza Matokeo ya kidato cha sita, Kibaha sekondari yaongoza

    Diploma?? Sio kweli, Watu wamepata 3.15 ya E-3 wameenda degree!! Huo ufaulu wako sio mbaya aisee.. Labda ungesema unataka kusomea nini chenye kutaka alama za juu.
  7. salmitah

    Jinsi ya kuhakiki cheti zaidi ya kimoja RITA

    Habari zenu wana jamvi, Nataka kuhakiki vyeti kwa ajili ya mwanafunzi anayetaka kufanya application ya mkopo HESLB, kuna baadhi ya vitu nimeshindwa kuvielewa, naomba mwenye uwelewa anieleweshe tafadhari. 1. Ukiwa unahakiki zaidi ya cheti kimoja gharama yake ni sh. ngapi? ile 3,000 tunailipia kwa...
  8. salmitah

    Kuitwa Kwenye Usaili wa Awali Taasisi ya kuzuia na kupamabna na rushwa (PCCB)

    Hapana bado.. Na hii ramani hapa inakuaje sijaelewa..
  9. salmitah

    Tatizo lolote la PC/device

    Nina PC yangu aina ya Hp 250 g4 imeharibika motherboard.. Msaada kwa mwenye kujua sehem ambayo naweza kupata motherboard nyingine!
  10. salmitah

    Application letter ya TRA

    Unaweza kusign kwenye karatasi kisha ukapiga picha halafu ukaondoa background ya ile picha kisha ukaingiza kwenye word document yako kama picha. Hope hii itakaa vizur! Kuondoa background unaweza kudownload application play store au ukatumia Adobe (kwa mweye kuweza)
Back
Top Bottom