heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,038
- 13,359
Unaacho angaliwa ni confidence ya kujieleza, ujue majukumu ya kkz
70/One Day = 140/Two Days
Nendeni mkaombeMsitutenge na sisi wenye ajira mbona tunazitaka hizo mambo jamani. Angalau tusukume sukume huu mwezi maana miezi ya miaka hii sijui ina cku 45 nini?
120k-150kHivi wanalipa sh ngapi per day maana naona watu wametokwa na mimacho hiyo
Hizi nafasi zamani zilikua zinatolewa kwa walimu wa shule ya msingi.Mbona hazibadiliki? Mwaka 1995 nilisimamia uchaguzi katika kituo cha kupigia kura. Malipo yalikuwa hayo hayo! Hali ni mbaya. Inaonekana hawa wote ni wategemezi. Cha ajabu utakua 2/3 ya hao wana-support CCM. Ndio maana watu wengine hawaonei huruma.
Jumlisha 40000 ya semina kwa hao watu wajuuMsimamizi wa kituo jumla 105000, wasimamizi 1 na2 95000, karani 75000 kama sijakosea
Wilaya/jimbo gani mkuu?Tupeni uzoefu wengine tumeitwa kesho
Nme-edit angalia tenaKwa hio foleni yote hioooooo atakayepata pesa ndefu ni elfu 70 kwa hizo siku 2 na ataepata pesa ndogo kabisa ni elfu 30 kwa hizo siku 2 sio?
Nalalamika sina viatu wenzangu hawana Miguu-Mwana FA
Sometimes tushukuru sana kwa maisha tuliyonayo maana inatisha sana.
Kabsa mkuu muda mwingine unaweza lalamika juu ya ugumu wa maisha ila ukijaribu kuvaa viatu vya hao vijana wenzetu wanaopigishwa mstari kwa mshahara huo kwa siku mbili.Kwa hio foleni yote hioooooo atakayepata pesa ndefu ni elfu 70 kwa hizo siku 2 na ataepata pesa ndogo kabisa ni elfu 30 kwa hizo siku 2 sio?...
Ni 70K kwenye mchaanganuo kuna pesa tatu Nauri, Chakula na Posho 35K, 15K na 20K ungesoma Tangazo lao ungeona.Cheki hapo juu.
Max:Tsh.35,000/day
Min:Tsh. 15,000/day