Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

Kwa hio foleni yote hioooooo atakayepata pesa ndefu ni elfu 70 kwa hizo siku 2 na ataepata pesa ndogo kabisa ni elfu 30 kwa hizo siku 2 sio?

Nalalamika sina viatu wenzangu hawana Miguu-Mwana FA

Sometimes tushukuru sana kwa maisha tuliyonayo maana inatisha sana.
70/One Day = 140/Two Days
 
Halafu ukiiuliza hii mjitu inakuja na idadi ya uongo ya ya ajira yalizozalisha! Shenzi kabisa
 
Hao ni vijana wote ambao hawana ajira mtaani na hapo ni wilaya ya temeke tu hebu Fikiria nchi nzima hali ikoje ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Msitutenge na sisi wenye ajira mbona tunazitaka hizo mambo jamani. Angalau tusukume sukume huu mwezi maana miezi ya miaka hii sijui ina cku 45 nini?
 
Ajira na ugumu wake.

Mshana na wengineo waliofanikiwa kufika hapo na kufanyiwa hiyo interview jaribuni kutupa uzoefu mlioupata kuhusu namna wanavyofanya huo usaili, je wanaangalia barua za maombi, CV, Vyeti hewa? Umri, Experience na mwisho chunguzeni kama kuna watu ambao tayari wana ajira lakini wamechanganywa kwenye kapu la wanyonge.
 
Back
Top Bottom