Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,294
- 13,727
Nafundisha watu wasaini kisha wambatanishe wewe Unaweza Hekima?Hizo sahihi sasa duh
Hekima ni jambo jema
Nafundisha watu wasaini kisha wambatanishe wewe Unaweza Hekima?Hizo sahihi sasa duh
Hekima ni jambo jema
Kwenye kuajiliwa nilishatoka huko nafanya biashara zangu tu . ila hongera kwa somoNafundisha watu wasaini kisha wambatanishe wewe Unaweza Hekima?
MkuU NDUgu yangu hapo umetukana.
Siwez Kuamini Kuwa Graduate una Akili Mbovu kama Hizi huko TRA unaenda kufanya nini?Mwambie afanye step hizi;
(1)atype
(2)aprint
(3)asain
(4)ascan
(5)apply
Hata 4,5,6,7 kama Unafiti be Carefully they Won't shortlist you katika Post zote unaweza Kuwa Shortlisted katika Post zinazohitaji watu wachache hapo ndo Utasaga meno na Kulia kilio cha mbwa mtotoKuna uwezekano wa kuomba nafasi mbili?
Siwez Kuamini Kuwa Graduate una Akili Mbovu kama Hizi huko TRA unaenda kufanya nini?
Unamkashfu bure tu, jamaa mbona yupo sahihi hzo steps za kutuma baruaSiwez Kuamini Kuwa Graduate una Akili Mbovu kama Hizi huko TRA unaenda kufanya nini?
Nenda na Technology Unapoteza Mda na Pesa hizo ndo akili nisizotaka ngoja nikutumie mfano wa Document iliyosainiwa kambiaso sasa hivi bila kwenda stationaryUnamkashfu bure tu, jamaa mbona yupo sahihi hzo steps za kutuma barua
Binafsi nmescan kwa kutumia simu baada ya kuiandika na ku-sign barua,labda unamaanisha hivyo.Nenda na Technology Unapoteza Mda na Pesa hizo ndo akili nisizotaka ngoja nikutumie mfano wa Document iliyosainiwa kambiaso sasa hivi bila kwenda stationary
Maisha magumuKWAN MATUSI YANA TOKA WAPI?JAMAN AU NDYO UGUMU WA MAISHA?????
Na km sio yy unataka ajisingizie?Kwani ukisema ni wewe ndiye unaye uliza kuna shida gani? tumia njia yoyote unayo ona inafaa
Kwa uzoefu wangu mara nyingi hupendelea uandike kwa mkono ....so its better achalaze kwa mkono assign afu ascan na utumeHabari zenu,
Kuna Dogo kaniuliza hapa kuwa hivi application letter ya Tra unaweza kuandika kwa mkono harafu ndiyo uiscan au unatype harafu unaweka signature ndiyo unaiscani?
Mwenye kuelewa please maana mie nimemjibu kuwa yote sawa tuuu shida iwe na signature tuu
Address waliosema itumike niKwa uzoefu wangu mara nyingi hupendelea uandike kwa mkono ....so its better achalaze kwa mkono assign afu ascan na utume
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Samahani, kwa mujibu wa TANGAZO adress Inaandikwa ya TRA au ya utumishi.