Jinsi ya kuhakiki cheti zaidi ya kimoja RITA

Jinsi ya kuhakiki cheti zaidi ya kimoja RITA

salmitah

Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
18
Reaction score
29
Habari zenu wana jamvi,
Nataka kuhakiki vyeti kwa ajili ya mwanafunzi anayetaka kufanya application ya mkopo HESLB, kuna baadhi ya vitu nimeshindwa kuvielewa, naomba mwenye uwelewa anieleweshe tafadhari.
1. Ukiwa unahakiki zaidi ya cheti kimoja gharama yake ni sh. ngapi? ile 3,000 tunailipia kwa kila cheti? kwa maana cheti cha kuzaliwa na vyeti vya vifo.
2. Unalipia 3,000 kwa vyeti vyote unviunganisha katika PDF unaattach pamoja?
3. Kama vinatumwa tofauti , kwenye portal kuna tarehe tuu ya kuzaliwa vipi hivi vya vifo?

View attachment 788218
 
Back
Top Bottom