Ni Mkenya au Mtanzania, yupi anayeweza kutupa maana ya methali hii?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?

Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.

Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
 
254 pale kwa left unajua nipo kwa mapozi kwa hili naitaga Kiswahili
 
Yani we unauliza wabongo tunajua kiswahili? ulishakuja bongo ukakuta tunaongea kijaluo? Watanzania ni waswahili, sema tu mnapenda ligi zisizo na maana, yani na sawa na kuuliza mwingereza kama anajua kingereza.

Back to your question, hiyo siyo methali coz methali inabidi umalizie eg. asiye sikia la mkuu haba na haba etc. So kajipange kwanza utuambie huo utopolo ulio andika ni kinini; either nahau, msemo au ni nini? But sio methali. Nadhani ushajua nani hajui Kiswahili.
 
Yani we unauliza wabongo tunajua kiswahili? ulishakuja bongo ukakuta tunaongea kijaluo? Watanzania ni waswahili, sema tu mnapenda ligi zisizo na maana, yani na sawa na kuuliza mwingereza kama anajua kingereza.

back to your question, hiyo siyo methali coz methali inabidi umalizie eg. asiye sikia la mkuu...., haba na haba..... etc. So kajipange kwanza utuambie huo utopolo ulio andika ni kinini; either nahau, msemo au ni nini? But sio methali. Nadhani ushajua nani hajui kiswahili
Hahaha povu ni ya nini mzee?
 
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?
Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.

Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.

Tz ndio mkufuu na Kenya ndiyo Mwanafuu.

Kenya should respect Tz.
 
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?

Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.

Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Maana yake ni: mwanafunzi hayawezi mambo ya mwalimu ila mwalimu anayaweza ya mwanafunzi wake...
 
Lugha ya hii methali mbona imekaa kishangishangi hivi?!

It must be a Kenyan Proverb that sounds similar to "Changu chetu chako chako" na hapo naona kuna watu wawili... Mkufuu na Mwanafuu!!

Mmoja akila cha mwenzake, poa tu ("ha") lakini yule aliyeliwa chake nae akita ale cha aliyemla, inageuka kuwa nongwa ("hu")!

Hakika Kiswahili kigumu!!
 
Wacha tuone nani mbabe katika lugha ya kiswahili? Nani anaweza kutupa maana sahihi ya methali hii?

Mimi nimeitafuta kwa muda mrefu na mwishowe nimeipata. Lakini nataka kujua kama wabongo wanajua kiswahili kama wanavyojisifu.

Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu. Cha mwanafuu mkufuu hu, na akila ha.
Hapo mpka wazee wa lamu, malindi,watamu na kipini waingilie kati
Mi hapo kidogo nineangukia puani, manake kigunya/kibajuni kuna mida kinanipiga chena
 
Yani we unauliza wabongo tunajua kiswahili? ulishakuja bongo ukakuta tunaongea kijaluo? Watanzania ni waswahili, sema tu mnapenda ligi zisizo na maana, yani na sawa na kuuliza mwingereza kama anajua kingereza.

back to your question, hiyo siyo methali coz methali inabidi umalizie eg. asiye sikia la mkuu...., haba na haba..... etc. So kajipange kwanza utuambie huo utopolo ulio andika ni kinini; either nahau, msemo au ni nini? But sio methali. Nadhani ushajua nani hajui kiswahili

Jifunze lugha wacha kupigia watu makelele, hii imewahi kujadiliwa hata na Watanzania Methali Tata
 
Hiyo methali ipo hivi:- "Cha mkufunzi mwanafunzi hali na akila hufa. Cha mwanafunzi mkufunzi hula na akila hafi."
Inafaa hili kuwa ndo jibu lenyewe. Maana "akila hu na akila ha"lazima ikufaye mtu uumize kichwa kupata jibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom