Recent content by sallutee

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Huduma ya SMS na bundle zitengwe kwenye vifurushi vya cheka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wazee wenzangu

    Mwanasheria????? Div 4 point 32. Aende vyuo vya ufundi, au VETA. Sheria inahitaji vipanga Div 1. Kurudia itamsaidiaje ikiwa Alikaa Miaka 4 na kuibuka na matokeo hayo. Akirudia atasoma miaka mingapi ili apandishe kiwango chake cha ufaulu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi ya Princess Muro kukarabati kituo Kimara kwa milioni 200

    Kumbuka Bima inaweza lipia gharama za gari mpya. Sasa hilo basi gharama yake ni 200m???
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa utapeli dhidi ya wastaafu ukomeshwe

    Wametapeliwa vipi? Narrate your story ili ueleweke mbinu wanazotumia. Na sehemu zinazotoa mafao zinavyohusika au jinsi hao matapeli wanavyopata taatifa za wastaafu kisha wanafuatiliwa. Maana mafao wanalipwa kwenye account zao benki sasa inanakuwakuwaje mmmm hueleweki.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Reginald Mengi saidiana na wenzako wa Machame Central

    Usingemlinganisha na wengine 50m na yeye 40m. Pale ungemtunzia heshima yake kwa kusema ulichotoa ni kianzio tunategemea zaidi. Kwa kumlinganisha tu umemdhalilisha
  6. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

    Flyover Dar miundombinu umesongwa na Majengo ambayo ukiyabomoa unatakiwa kulipa fidia. Fidia zinagharimu ndio maana Bomba la mafuta kutoka Uganda limeshindikana kupitishiwa Kenya moja ya sababu ni kufidia ardhi.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

    Magu aamue kila mwaka wizara 5 zihamie Dodoma. Kyle Dodoma ofisi zijengwe pembezoni mwa mji.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Barabara ya fly over TAZARA, itapunguza foleni?

    Picha ya flyover TAZARA ili tuchangie.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wanaoingilia njia ya Mabasi Yaendayo Kasi DSM washtakiwe kwa kuhujumu uchumi!!!

    Wenye kuuua mradi ndo wenye daladala. Madereva hao wanyang'anywe leseni na wasipewe maishani
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Pole Sana mama na wtt, duh ulale kwa Amani Dr Lema umenihudumia vizuri sana kwa wtt wane, Mungu mpokea Dr alikuwa nauchaji wa Kazi, jamani Tz imepoteza bingwa wa wanawake
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO: Kitu hiki kinanikera sana kwenye kumbi zetu hizi za kuangalia mpira

    Unauhakika gani kuwa wamepitia hii thread yako? Unatusumbua sisi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao

    Pazi Mwamlima wa Mpanda sio mpya. Huyu alikuwepo hapohapo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao

    Hii orodha mbona iko nusu????
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G ni hatari sana, Halotel ikae mbali sasa

    Tigo 4G njoo Mpanda. Ukutane na Halotel ndipo uongee. We unaongelea Tanzania. Jaribu Tanganyika pia ndo uzungumze avatar yako
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

    Uchagani?[emoji89]
Back
Top Bottom