Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

Poleni Wafiwa! Taifa limepoteza kiumbe mwenye Faida sana sana sana!
Ila 'uzuri' wa Taifa letu ninavyolipenda Watu kama hawa hawaliliwi kabisa, angekufa Mbongo fleva teja anaevaa suruali chini ya Makalio Taifa lingeshazizima mpaka muda huu!
 
OTE="zegamba180, post: 16067230, member: 251819"]Profesa lema aliyewah kuwa mkurugenz wa Muhimbili? Kama ndiye. Alinifanyia major operation 05/02/ 2001 pale muhimbili. Alinisaidia sana daima ntamkumbuka[/QUOTE]
Sio huyo aliyekuwa mkurugenzi muhimbili huyu ni mwingine
 
lema-300x300.png

Prof Richard Seth Massana Lema
 
Profesa lema aliyewah kuwa mkurugenz wa Muhimbili? Kama ndiye. Alinifanyia major operation 05/02/ 2001 pale muhimbili. Alinisaidia sana daima ntamkumbuka
Ni ndg yake alikuwa anaitwa Raphael Lema, bila shaka alishafariki naye
 
Pole Sana mama na wtt, duh ulale kwa Amani Dr Lema umenihudumia vizuri sana kwa wtt wane, Mungu mpokea Dr alikuwa nauchaji wa Kazi, jamani Tz imepoteza bingwa wa wanawake
Mama tafsiri ya neno " bingwa wa wanawake " ni ambiguous. N,way may Lord rest his soul in an eternal light.
 
RIP Prof Lema bingwa wa magonjwa ya akina mama,wengi watakukumbuka kwa huduma zako
 
Pole Sana mama na wtt, duh ulale kwa Amani Dr Lema umenihudumia vizuri sana kwa wtt wane, Mungu mpokea Dr alikuwa nauchaji wa Kazi, jamani Tz imepoteza bingwa wa wanawake
Taifa limepoteza moja kati ya Ma-Gynecologist mashuhuri na wenye uzoefu mkubwa sn, amesaidia wengine sana the late Dr. Lema.
 
Back
Top Bottom