Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba Mkali, May 9, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI [/FONT]

  [FONT=&quot]NA. JINA KITUO CHA KAZI

  1. Novatus Makunga Hai

  2. Mboni M. Mgaza Mkinga

  3. Hanifa M. Selungu Sikonge

  4. Christine S. Mndeme Hanang

  5. Shaibu I. Ndemanga Mwanga

  6. Chrispin T. Meela Rungwe

  7. Dr. Nasoro Ali Hamidi Lindi

  8. Farida S. Mgomi Masasi

  9. Jeremba D. Munasa Arumeru

  10. Majid Hemed Mwanga Lushoto

  11 Mrisho Gambo Korogwe

  12. Elias C. J. Tarimo Kilosa

  13. Alfred E. Msovella Kiteto

  14. Dkt. Leticia M. Warioba Iringa

  15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe Mbozi

  16. Mrs. Karen Yunus Sengerema

  17. Hassan E. Masala Kilombero

  18. Bituni A. Msangi Nzega

  19. Ephraem Mfingi Mmbaga Liwale

  20. Antony J. Mtaka Mvomero

  21. Herman Clement Kapufi Same

  22. Magareth Esther Malenga Kyela

  23. Chande Bakari Nalicho Tunduru

  24. Fatuma H. Toufiq Manyoni

  25. Seleman Liwowa Kilindi

  26. Josephine R. Matiro Makete

  27. Gerald J. Guninita Kilolo

  28. Senyi S. Ngaga Mbinga

  29. Mary Tesha Ukerewe

  30. Rodrick Mpogolo Chato

  31. Christopher Magala Newala

  32. Paza T. Mwamlima Mpanda

  33. Richard Mbeho Biharamulo

  34. Jacqueline Liana Magu

  35. Joshua Mirumbe Bunda

  36. Constantine J. Kanyasu Ngara

  37. Yahya E. Nawanda Iramba

  38. Ulega H. Abadallah Kilwa

  39. Paul Mzindakaya Busega (mpya)

  40. Festo Kiswaga Nanyumbu

  41. Wilman Kapenjama Ndile Mtwara

  42. Joseph Joseph Mkirikiti Songea

  43. Ponsiano Nyami Tandahimba

  44. Elibariki Immanuel Kingu Kisarawe

  45. Suleiman O. Kumchaya Tabora

  46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa Siha

  47. Manju Msambya Ikungi (mpya)

  48. Omar S. Kwaangw’ Kondoa

  49. Venance M. Mwamoto Kibondo

  50. Benson Mpesya Kahama

  51. Daudi Felix Ntibenda Karatu

  52. Ramadhani A. Maneno Kigoma

  53. Sauda S. Mtondoo Rufiji

  54. Gulamhusein Kifu Mbarali

  55. Esterina Kilasi Wanging’ombe (mpya)

  56. Subira Mgalu Muheza

  57. Martha Umbula Kongwa

  58. Rosemary Kirigini Meatu

  59. Agness Hokororo Ruangwa

  60. Regina Chonjo Nachingwea

  61. Ahmed R. Kipozi Bagamoyo

  62. Wilson Elisha Nkhambaku Kishapu

  63. Amani K. Mwenegoha Bukombe

  64. Hafsa M. Mtasiwa Pangani

  65. Rosemary Staki Senyamule Ileje

  66. Selemani Mzee Selemani Kwimba

  67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele (mpya)

  68. Iddi Kimanta Nkasi

  69. Muhingo Rweyemamu Handeni

  70. Lucy Mayenga Uyui

  OFISI YA WAZIRI MKUU,

  DAR ES SALAAM.[/FONT]
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Mshahara Wanalipwa kiasi Gani Tujue Pesa zetu zinavyotumika si walisema serikali itakuwa inaendeshwa kwa wazi?
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Bila Kumsahau Duduwasha Wilaya Mpya Ya Kigamboni...
  Hiyo namba 19 wangemalizia na Kibonde

  Kipozi huyu tulishaanza kumsahau Mtangazaji wa Zamani Sana
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Huyu Kipozi ndie baba wa wale wasanii mapacha wa kike walivuma kipindi fulani?
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kaaazi kweli kweli.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Watanzania tumetwishwa gunia la misumari na wapuuzi wachache.
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona sioni jina la ersto sima, aliyekuwa dc korogwe na betty mkwassa dc bahi?
   
 8. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  hao ni wapya tu mkuu, wazamani wengine wamehamsihwa na wengine kutemwa ila Betty Mkwasa yuko pale pale Bahi.
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Huyu No' 63. Amani K. Mwenegoha (Bukombe)alikua katibu mkuu wa Kanisa la KKKT Tanzania na alikua na kesi ya wizi wa pesa za kanisa naye yupo?????? I looooove this country!
   
 10. M

  Martinez JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2016
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 518
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Uteuzi wa MaDc ni lini?
   
 11. Wakuacha

  Wakuacha JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2016
  Joined: May 19, 2015
  Messages: 1,965
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Umeahidiwa ukuu Wa wilaya nini???
   
 12. c

  chura mweusi JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2016
  Joined: May 4, 2015
  Messages: 394
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Muda ukifika utajuzwa tu. au nawewe unavizia U-DC?
   
 13. s

  sallutee Member

  #13
  Apr 30, 2016
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 15
  Hii orodha mbona iko nusu????
   
 14. s

  sallutee Member

  #14
  Apr 30, 2016
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 15
  Pazi Mwamlima wa Mpanda sio mpya. Huyu alikuwepo hapohapo
   
 15. mhuni

  mhuni JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2016
  Joined: May 30, 2015
  Messages: 961
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  nimefurah kumuona bakar nalicho ana utu sana
   
 16. K

  Kaluguyu Senior Member

  #16
  Apr 30, 2016
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Na hivi tulivyo WAVIVU WA kusoma na kufikiri hata kama Orodha ya Zamani watu tutasema mpya.
   
 17. SaaMbovu

  SaaMbovu JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2016
  Joined: Oct 8, 2013
  Messages: 3,489
  Likes Received: 812
  Trophy Points: 280
  Shabani Kisu naona hayupo. Alikuwa Kondoa.
  Wapi VITA KAWAWA hii si awamu ya 4 aisee.
   
 18. v

  vmjwahuzi Senior Member

  #18
  Apr 30, 2016
  Joined: Aug 25, 2014
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  karibia wote wa zamani hakuna ukweli kwa hili
   
 19. B

  Baba Mkali JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2016
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 681
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 180
  Maskini wakuu wa wilaya...siku hizi heshima yao ipo mavumbini, hawaheshimiwi kabisa. Yaani ni walimu na wakulima tu ndio wamebaki wanawaheshimu.
   
 20. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2016
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,702
  Likes Received: 5,206
  Trophy Points: 280
  Hii ni ile ya zamani sio mpya
   
Loading...