nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,715
- 11,975
Haitasaidia kupunguza foleni....ni muendelezo wa mambo ya kitoto sawa na MWENDO KASI....n.k.
Kwa mfano.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je?likifika Chama? matumbi je?
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika vingunguti? si yaleyale...mpaka njia panda ya segerea na banana jam itaongezeka.
Gari lita tiririka darajani TAZARA ,je? likifika mataa changombe?...Hebu tuache kufanyana wajinga.
SULUHISHO:
Zijengwe angalau njia 5 kwenda,5 kurudi.....kila upande......For now and future use.