Pole sana mzazi mwenzangu kwa changamoto hii ya malezi...lakini naomba pia nikupongeze kwa kufaulu kumfanya mtoto akuamini zaidi wewe mzazi wake ni jambo jema na unastahili sifa kwa hili.
Huyu binti yetu kuna mambo mawili tu ambalo moja ni kweli
1. Tayari yupo kwenye mahusiano na kuna...
Mleta uzi naamini wewe ni fundi na mtaalamu kwenye mambo haya,Naomba unisaidie kunipa elimu kuhusu haya:-
1.Kati ya Mloliondo,Mkongo na Mninga mbao ipi ni nzuri zaidi kwa ajili ya milango na frem zake?
2.kiuzito imekaaje?
3.Uimara na ugumu wake?
4.Kipi cha ziada ambacho kinazidi wenzake i.e bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.