CHEMSHA UBONGO: Kitu gani hakipo sawa kwenye picha hii??

CHEMSHA UBONGO: Kitu gani hakipo sawa kwenye picha hii??

FWBTZ

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
90
Reaction score
88
58870178-2129943663727278-3786117025517010944-n.jpg
 
1-Paka yupo kwenye nyumba ya ndege
2-Picha imegeuzwa chini juu
3-Miwani ya huyo dogo inatofautiana size ya lensi
4-birika inamimina chai pasipo kikombe chini
5-lile jiko la moto ni la umeme ila ule unaotoka ni moto wa kuni
6-kile kioo inaonekana kimemiss mshikio mmoja
7-meza karibu na baba haina mguu mmoja
8- baba(or whoever he is) anasoma gazeti juu chini
9-binti anakoroga chai na kisu badala ya kijiko
10-Anayekula mkate slace(slesi) hazilingani
11-Mtoto anaupa mdoli chakula
12-Mshumaa umekuwa connected na umeme

nimemaliza. weka lingine.


 
- Paka yupo kwenye nyumba ya ndege
-Picha imegeuzwa chini juu
-Miwani ya huyo dogo inatofautiana size ya lensi
-birika inamimina chai pasipo kikombe chini
-lile jiko la moto ni la umeme ila ule unaotoka ni moto wa kuni
-kile kioo inaonekana kimemiss mshikio mmoja
-meza karibu na baba haina mguu mmoja
- baba(or whoever he is) anasoma gazeti juu chini
-binti anakoroga chai na kisu badala ya kijiko

wengine endeleeni
Umesahau mgeni kapewa gazeti asome wenye nyumba wanakula.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Heater iko plagd na umeme lakini inatoa moshi.
 
Upana wa Slesi za mkate ni mdogo kuliko size ya upana wa mkate
 
Kuna kitu ambacho naona bado wengi hamjakiona.

Hiyo birika ina mkono !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom