Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Imeandikwa na Lello Mmassy


UTANGULIZI
Naitwa Joseph Kaduma Ndani Ya Serikali Ya Nchi Ya STANZA Watu Hupenda Kuniita Joe.Nina Nusu Saa Tu Ya Kuamua Kati Ya Maisha Yangu,Familia Yangu Na Utajiri Wangu Ama Uhai Wa Rais. Rais Anaeongoza Zaidi Ya Watu Milioni 70,Mwenye Ulinzi Zaidi Ya Ma Rais Wengi Hapa Duniani Leo Hatma Ya Maisha Yangu Ipo Mikononi Mwake Na Yake Mikononi Mwangu.

Nimwache Animalize Au Nimmalize Nibaki Salama?.Siwezi Kurudia Kosa Nililolitenda Hapo Kabla.Ni Ama Mimi Ama Rais.

Inaendelea..
**************************
Oops,! The Book
Vp mbaba hatuendelei, ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikionaga story humu kabla sijaanza isoma kwanza naenda last page kuangalia kama imeisha nisije isoma nikaishia njiani......Nakutana na watu wanalalamika wamekatishiwa utamu
 
Back
Top Bottom