Recent content by salim2013

  1. S

    Ukisafiri ukakaa na Msichana siti moja, safari inakua fupi sana

    Ndio maana kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kusafiri peke yake
  2. S

    Wanawake mtatuua

    Pumbaff, na ubinadam na utu upo wapi? Kwahio chakula chako hali mpka akukidhie haja yako? Hata wanyama hawafanyi hivo, ama yeye ni mtumwa wako wa ngono? Kumbuka nae ni bint wa mtu kama wewe na hio kakufanyia ni ajili ya ugumu wako na ilikua akufanyie zaid ya hio nyau wewe
  3. S

    Jinsia Mbili(Haemophrodites)

    Wapo bila shaka wanaitwa khunthaa, kiislam kuna baadhi ya sheria lazima jinsia ya mtu husika ifahamike kama vile mirath, sasa hapo ndo itaangaliwa atumia ipi kuendea haja ndogo? Na kuna ambao wanatumia zote ila hao ni mmoja kwenye makhunthaa mia.
  4. S

    Mfanyakazi wa kuuza chipsi anahitajika

    Sory mkuu ilikua sijakuelewa Sent from my HUAWEI RIO-L01 using JamiiForums mobile app
  5. S

    Nina milioni 1 nifanye Biashara gani?

    Inategemea na mazingira ila nakushaur ufungue mgahawa kwa kila mke mmoja awe na mgahawa wake, hii ni coz mtaji mdogo na pia itasaidia kwenye masuala ya kula kwa family
  6. S

    Nina milioni 1 nifanye Biashara gani?

    Unaanzaje kumuuliza mtu swali kama hilo, maybe hapo awali mambo yalikua mazuri na sasa hivi mambo yamebadlika na ndio maisha yalivo
  7. S

    Mfanyakazi wa kuuza chipsi anahitajika

    Mbona twapenda lawama hivi sisi waswahili, sasa hizi si ndo faida zenyewe za Internet, wewe ukiona haikuhusu pita tu.
  8. S

    The smartestphone Huawei Mate 8, storage 64GB, Ram 4GB

    Ok shukran, jee upo na huawei g8 32 gb?
  9. S

    Tecno Y3+ inauzwa kama spare.

    Sio katika zilofungwa lakini
  10. S

    JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

    Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla
  11. S

    [Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

    Basi uwe na mapenzi na huruma juu ya huyo mke, kwani wengependa binti yako akaishi hivo kwa mumewe? Kumbuka nae huyo ni bint wa mwanaume kama wewe
  12. S

    [Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

    Yategemea na nia yako ya kuowa, kama ulihitahiji house girl basi upo sawa mkuu
Back
Top Bottom