Nina milioni 1 nifanye Biashara gani?

usichoke baba kuzaa tafuta frem anza kuuza vitu vinavyotumiwa na watu wanaokuzunguka kila sku utawalisha wote na wala hutagombana nao wanafamilia
 
Inategemea na mazingira ila nakushaur ufungue mgahawa kwa kila mke mmoja awe na mgahawa wake, hii ni coz mtaji mdogo na pia itasaidia kwenye masuala ya kula kwa family
 
Kanunue mbwa wa kisasa dume na jike german shephard. Kisha wakianza kuzaa utauza kwa faida
 
Zingatia michango ya wadau. Anzisha biashara ya mboga mboga. Kila mke mpe kibanda/meza yake then wewe simamia kama meneja ingawa na wewe unaweza ongeza vitu kama mkaa ili uwe bize siyo tu kusimamia
 
Back
Top Bottom