Jinsia Mbili(Haemophrodites)

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,181
1,212
Mimi binafsi naskiaga wanaongelewa ILA Sijawahi kutana na mmoja,ivi wapo kweli hawa watu???na unaambiwa both organs zinafanya kazi!sasa sijui kma ana ya kike na ya kiume anaweza kujiridhisha mwenyew tu
naombeni msaada hapa wakuu
 
Wapo bila shaka wanaitwa khunthaa, kiislam kuna baadhi ya sheria lazima jinsia ya mtu husika ifahamike kama vile mirath, sasa hapo ndo itaangaliwa atumia ipi kuendea haja ndogo? Na kuna ambao wanatumia zote ila hao ni mmoja kwenye makhunthaa mia.
 
Mwaka juzi kuna jamaa alielezea hyo hbr kwenye wanabidii forums yy anafanya social reseach especialy mambo ya hawa mashoga ndo akajaambiwa wapo wenye jinsia2 akabisha anasema alifanyiwa mpango akakutanishwa na mhusika na akaona kwa macho anadai hakupata usingizi that day
 
Yeah shemale ni wanau
Kama jambo hulijui ni bora u-Google upate uelewa, au unyamaze kuliko kupoteza wengine.
Wewe ndo haujui she males ni wanaume walio Fanya surgery...hata wewe ukiamua unaweza kuwa shemale...vipi unataka?
 
Yeah shemale ni wanau

Wewe ndo haujui she males ni wanaume walio Fanya surgery...hata wewe ukiamua unaweza kuwa shemale...vipi unataka?

Tuliza mzuka pori wewe! Shemale = Transgender people.
(people who are
born with typical male or female anatomies but feel as though they've been born)

Watu waliozaliwa na maumbile/mwonekano tofauti na uhalisia wao. Kwa taarifa yako neno Female ni neno linalotumika sana kwenye mambo ya biashara ya ngono tu na sio vinginevyo.

Hayo ya kufanyiwa surgery ili uwe female ni tamaa yako ya kutaka kuliwa.
 
Back
Top Bottom