S salim2013 Member Joined Apr 3, 2013 Posts 26 Reaction score 15 Jul 11, 2016 #121 Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Jul 12, 2016 #122 salim2013 said: Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla Click to expand... Mkuu nime-upgrade tu nilikua na iPhone 6, na hiyo app ilikua ipo iStore lakini baada ya kuwa na hii 6s ndio siioni tena
salim2013 said: Labda app haijawekwa yet kwenye iPhone, ni Android tu, simu gani ulikua watumia kabla Click to expand... Mkuu nime-upgrade tu nilikua na iPhone 6, na hiyo app ilikua ipo iStore lakini baada ya kuwa na hii 6s ndio siioni tena
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Jul 12, 2016 #123 Ok naona mme-merge na hii post its fine, lakini mbona hamjatoa jibu?
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Jul 13, 2016 #124 Hivi moderators wako wapi?
tonge nyama JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 380 Reaction score 502 Aug 25, 2016 #125 Mods tayari mmesha hamia Dodoma nini?