St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,201
Mkuu Facebook watu wengi wanaitumia kibiashara kuliko huo utoto unaosema. Kuna wengi sana wanafanya biashara huko huwezi kuamini. Mitandao ni sehemu ya kazi na kutengeneza hela inategemea na matumizi yako.Wenye hekima zao wote, wanaitumia facebook kwa ajili ya connection tu na watu wengine, lakin ukifuatilia yanayo endelea facebook ni utoto mtupu, ndio maana nikapiga mfano huo, lengo ilikuwa kumkosoa ndugu aliyeleta utoto ktk mada inayohusu utafutaji wa maisha.
Sasa upuuzi wa mjibu hoja ndio ulionipelekea kumjibu hivyo, na wapuuzi wa aina ile hawakuwepo hapa jamii sasa hivi wameingia humu kwa kasi na kusumbua watu ktk forum hii muhim, ambapo humu kuna watu wanaendesha maisha kupitia humu.