Naombeni msaada wa Line za M-pesa, Tigo pesa na Airtel money. zinapatikana kwa bie gani?

LAMU

Member
Jun 12, 2016
51
18
wakuu habari zenu! samahani naombeni msaada jinsi ya kupata line ya m- pesa, tigo pesa, na airtel money na zinapatikana kwa shilingi ngapi? mwenye uzoefu nayo naomba anieleweshe!

aksanteni wakuu!
 
wakuu habari zenu! samahani naombeni msaada jinsi ya kupata line ya m- pesa, tigo pesa, na airtel money na zinapatikana kwa shilingi ngapi? mwenye uzoefu nayo naomba anieleweshe!

aksanteni wakuu!
Leta laki 7 mkuu utapata
 
acheni kutapeliwa mchana kweupeeee chukua leseni ya biashara utazipata kiulaini kabisa . hizo zakuuziwa nu ghali na pia ukiipoteza umeliwa kuirudisha huwezi
 
Ndungu wateja wetu sasa unaweza kuwa wakala wa mpesa kwa haraka zaidi tena bureeeeee! Cha kufanya ni kuwana licence ya biashara,TIN namba ya TRA na kitambulisho chako.
Ukiwanavyo hivyo vitu utapatiwa TILL yako kwa haraka zaidi tena vodacom wa watakuwekea mabango ya biashara popote pale tanzania ,
Wahisasa ufaidike na vodacom m-pesa commision,
Kwayoyote anayeitaji, mahali popote tanzania tutakusaidia
Kwa mawasiliano nasi
Email. idrisatwahashabani@yahoo.com
Mobile no. 0756632645
Vodacom kazi ni kwako
 
Unaibiwa wewe tafuta tini namba hat kwa ndug yak anaemilok biashara ukasajiliwe bure.. Watu wangu wanaangamia .....
 
Back
Top Bottom