Viwanja Vinne Vinauzwa - Chanika Zingiziwa

Baba Watoto

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
393
278
Viwanja vilivyokatwa tayari na kutengwa mitaa vinauzwam hakuna dalali, vinapakana na Shule na zahanati ya Zingiziwa, vipo Barabarani kabisaa, kila kimoja ni 2.8, kwa wanunuzi wa uhakika karibu PM
 
ukubwa gan? bei?
 
Habari wandugu, poleni kwa kupotea hewani, viwanja vimeuzwa vitatu na kimebaki kimoja tuuuu. Ambcho wakati wowote kitauzikana
 
Viwanja vilivyokatwa tayari na kutengwa mitaa vinauzwam hakuna dalali, vinapakana na Shule na zahanati ya Zingiziwa, vipo Barabarani kabisaa, kila kimoja ni 2.8, kwa wanunuzi wa uhakika karibu PM
hata kapicha tu jamn
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom