Recent content by salary

  1. salary

    Niijuavyo Freemasonry

    yani apa kanyaga twende sijaelewa kusudi lako kuu ili ujumbe uweleweke kwa watu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. salary

    Nimepangiwa field Lindi secondary mwenye kujua maisha ya pale Lindi anipe madhaifu na ubora

    we nenda kale bata utuharibie watoto tuna kugeuza panya
  3. salary

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    we jamaa noma sana kila ninapo ona THE BOLD najua tu hii ni zaidi ya uhondo safi sana mkuu MUNGU akubariki kaka
  4. salary

    Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

    aaaaah mkuuu vipiii[emoji122] [emoji122] unamlambisha mtu asali alafu hapo hapo una mwambia tema mate jamanii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. salary

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    hapa inshu siyo vyeti au uhalali watu wanadai uhuru wa kiuchumi hata kama waliiba inatosha sasa nikujenga nchi upya na kama wewe mzalendo wa kweli kupinga hili ni vigumu..... na kama hapa isipo wezekana je tukiamua 2020 upinzani ushike dola ni njia vipi watafanikisha hili uzalendo sasa hivi kwanza
  6. salary

    Majira, Habari Leo na MWANANCHI hii adhabu mliotupa leo sisi Wasomaji wenu mtatupoza na nini?

    hata mwaka jana kwenye kikao cha afrika mashariki aliwaongelea sana waandishi wa habari
  7. salary

    kwanini picha ya mandela haionekani kwenye sarafu south africa

    wakuu wa idara zote pamoja na kiongozi mkuu THE BOLD itifaki imezingatiwa ...... samahani sana wakuu hivi siku moja mnaweza kuuleta uzi unao elezea south africa historia yake kwa mapana juu ya mwaka 1922 na 1994 > MANDELA kutohusika kwenye sarafu ya AS kama ilivo tz nyerere anavo ng'aa kwenye...
  8. salary

    Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

    kabla sija uwendea huu uzi nakushukuru sana mkuu kuleta huuzi tena inabidi niache hata kula nipae nao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
  9. salary

    Kumbe Vanessa Mdee ni Mwanasheria by Professional?

    ni mpare ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ndo maanaa.....!!!
  10. salary

    Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

    safi sana mkuu
  11. salary

    Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

    asante mkuu ... hivi siku moja unaeza toa uzi kuhusu okello kama hutojali mkuu
  12. salary

    Usiyoyajua kuhusu Che Guevera

    mkuu samahan hivi che alihusika mapinduzi ya zanzibar
  13. salary

    Mwenyekiti wa chama cha upinzani kuteuliwa mkuu wa mkoa (katiba ya CCM) akikubali ni kukosa uelewa

    lakini haina shida kutokana na hilo neno "ambaye" inamaana kama hahusiani na chama hahusiki kwenye kikao hivyo kuwa makini kutafsiri sheria na ndoomaana hakuteuliwa tu watu washasoma wakajua nini kitaendelea baada ya hapo
  14. salary

    Sakata la kuzikwa Ndesamburo: Godbless Lema umetia aibu

    acha ujinga uwanja wa mashujaa na uwanja wa majengo hivi unajua hizi sehem vizuri.... na katika shughuli zote za kiserikali hua zinafanyika mashujaa na sio majengo kwasababu majengo uko rounded tofauti ma mashujaa na kama ulisha hudhuria hafla nyingi uwanja wa majengo utaona muda wa kutawanyika...
  15. salary

    Kuelekea UEFA champions league final

    umechambua vizuri ila wewe ni sawa na mwl kashasha
Back
Top Bottom