Nadhani sio sawa kufikia conclusion yoyote bila kusoma contents za habari hizo. Inawezekana pia kukawa na maelezo yanayoweza kutoa mwanga kwa nini heading imewekwa hivyo.
Keyword: "Perspective"
hata mwaka jana kwenye kikao cha afrika mashariki aliwaongelea sana waandishi wa habariKumbe na ndiyo maana hata Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mzee Mkapa huko nyuma alishawahi kuwatukana kwa kuwaambia ni Wapumbavu / Mapopoma. Wengi hiyo siku alipowatukana hivi tulidhani kuwa huyo Nguli wa masuala mazima ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano Rais Mstaafu Mkapa aliwaonea au aliwakose adabu lakini kwa huu muendelezo wao wa Upupu / Upuuzi sasa nimeanza kumuelewa Kindakindaki Mzee Mkapa.
Hapo patamu mimi mwenyewe nimejiuliza kidato cha tano? kukosoa wenzako wakati kosa lako ndilo baya tena linapotosha jamiiKwanza cjakuelewa,waliofaulu kidato cha tano!!!!!,,au waliofaulu kidato cha nne kwenda cha tano..……
binafsi waandishi wengi wote wa habari bao ni ndugu, rafiki au watoto wa rafiki zangu wana Sifa zifuatazo:-
1. form four wote walitoa dv iv za 30's
2. wameungaunga cert na dip za hapa na pale
3. hawana mikataba, wanasubiria press tu wakapewe maji na biscuits
nawashauri waige BBC, DW
binafsi waandishi wengi wote wa habari bao ni ndugu, rafiki au watoto wa rafiki zangu wana Sifa zifuatazo:-
1. form four wote walitoa dv iv za 30's
2. wameungaunga cert na dip za hapa na pale
3. hawana mikataba, wanasubiria press tu wakapewe maji na biscuits
nawashauri waige BBC, DW
Kwanza cjakuelewa,waliofaulu kidato cha tano!!!!!,,au waliofaulu kidato cha nne kwenda cha tano..……
Hapo patamu mimi mwenyewe nimejiuliza kidato cha tano? kukosoa wenzako wakati kosa lako ndilo baya tena linapotosha jamii
Mjanja ume edit uliandika waliofaulu kidato cha tano badala ya 'waliofaulu kwenda kidato cha tano' angalia quote yangu ya mtu wa #40Nimekosea wapi? Weka hapa hilo Kosa ili lionekane tafadhali otherwise nyamaza tu. Muwe mnasoma uzi Kiumakini na siyo kukimbia kuleta Chuki zenu kwa GENTAMYCINE wakati kumbe kiuhalisia kumbe nyie mliousoma ndiyo mmekengeuka / mmepotoka.
Asante sana mtukufu great thinkerHivi hujishtukii kuwa hapa umeandika Upumbavu / Upopoma usiovumilika na Great Thinkers tuliotukuka kabisa kama Sisi? Hivi Professionally kabisa unajua maana au dhana nzima ya Headlines hasa katika Magazeti? Kwani kama unajua kabisa huna hata angalau a,b,c ya Journalism kwanini usinyamaze tu ili uelimike kupitia kwa Manguli wa hiyo Tasnia kuliko kuja na huu Upuuzi / Upupu wako?
Naomba nikuachie hili swali ambalo kama ukiweza au ukipata muda nitashukuru endapo utanijibu. Hivi umeenda nyumbani kwa Mtu halafu upo tu Getini unaona kuna uchafu halafu umefunguliwa Geti umeingia ndani tena kwa pale nje unakutana na uchafu tena umezagaa na unanuka unadhani utapata taswira gani ya ndani ya hiyo nyumba hasa kimandhari?
Hapo hapo ulipo sasa hivi mtafute Mdau yoyote wa Habari kisha muulize hivi Headlines za Magazetini na Contents za Habari ipi ambayo huuza na ndiyo inamvutia Mtu kuingia mfukoni kutoa Pesa yake na kulinunua hilo Gazeti? In short umetetea kitu cha Kijinga sana na kisichovumilika Kitaaluma.
Siku zingine jifunze kufikiri tafadhali.
Gentamycine, we si ni journalist pia?