kwanini picha ya mandela haionekani kwenye sarafu south africa

salary

Member
May 22, 2017
23
95
wakuu wa idara zote pamoja na kiongozi mkuu THE BOLD itifaki imezingatiwa ......
samahani sana wakuu hivi siku moja mnaweza kuuleta uzi unao elezea south africa historia yake kwa mapana juu ya mwaka 1922 na 1994
> MANDELA kutohusika kwenye sarafu ya AS kama ilivo tz nyerere anavo ng'aa kwenye sarafu ya TZ kama hamtojali........

Nawasilisha
 

Mzee Kijana

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
783
500
Si lazima awepo kila mahali. Afrika Kusini kama taifa wana utajiri wa historia na kuna watu wengi sana maarufu wamepita sasa si kila mmoja anaweza kuenziwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom