Recent content by Saitot

  1. S

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zetu na mapungufu yake.

    habari zenu wana jamvi, Nikiwa kama mtumishi wa serikali nimebahatika kufanya kazi Halmashauri za miji/jiji na watu mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya Tanzania lkn niliyoyasikia na kuyaona yanasikitisha. Halmashauri hizi ndizo zenye wafanyakazi wengi wakiwemo manesi, walimu matabibu na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chege Chigunda hii Sweety Sweety ni habari nyingine

    Yess wimbo upo vizuri big up chege, video tamuuuuuuuu!!!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbwa aina ya German Shepherd au Pitbull (Dume na Jike)

    Mkuu tahadhari hao mbwa usipokuwa makini nao watatafuna wanao! !! Ni hatari sana hao
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    kuna mtu aliwahi sema kuwa Mtanzania ni shida sana, sasa naanza kuona, kwani we ulitaka diamond umuamulie kila kitu ,jamani mwisho mtamwamisha na dini na kabila maana???
  5. S

    JamiiForums Tanzania St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    mmoja kati ya wakurugenzi wa shule hii ni rafiki na brother to me , Mr Mboka MWambusi , pia Kaka tuntufye mwambusi , kama mnapat a jumbe kama hz ni bora kuzifanyia kazi , ili kutokuharibu sifa ya chuo , kwa sasa hiki ni moja ya chuo kinachotoa wahitimu wa ualimu kwa wingi na kinasaidia sana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Upambe wa Urais: Mke wa mtu ajiuza Dodoma

    jumbula anatafuna pesa ya wenzie,nice story..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tafakari kisha mshukuru Mungu kwa kidogo ulichonacho

    hivi watu kama kina bill gates ,bakheresa wakiona hawa watu sijui wanajisikiaje ? ee Mungu zidisha upendo kat yetu na waondoe katka vita ndugu zetu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha za kustaajabisha

    mmmh hy ya mwanajeshi unaweza jikojolea kama huna moyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Military selfie

    why nimeichelew hii mshana vunja mbavu za watu haa haaaa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kweli Tanzania tumefikia hapa?

    Inawezekana umepata usumbufu mkubwa kutokana na hicho ulichokisema, ,lkn kwa sasa bima ya afya NHIF imekuwa ni mkombozi mkubwa sana hasa kwa vipimo ambavyo pengine tungeshindwa kuvilipia , kutokana na vipato vyetu , ni kweli kuna baadhi ya hospital ambazo bado zinatoa huduma mbaya kwa wagonjwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nchi hii inaweza kuendeshwa bila serikali ya CCM

    hii ndio tanzania yetu ya leo ,ni kama tupo yatima tusio na mama wala baba
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anatumia kiwanja changu kuweza kufika kwake

    Ahsante Pedama , ni kweli sina amani na ndicho nnachokitafuta.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ada ya shahada ya Uzamili

    mkuu umejieleza bila kujitosheleza jazia basi tujue wapi pa kusaidiana.kwa mfano ada sh...... au pesa ya fomu sh....? pengine tukakupa mdhamini pia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anatumia kiwanja changu kuweza kufika kwake

    nawashukuru wote kaka na dada kwa ushauri wenye weredi , nimepata majibu kutoka kwa wengi nawapenda wana jamii forum.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Singapore in Pictures

    jamani kuna watu wanajenga nchi zao duu!!! wapo imara sana
Back
Top Bottom