Umeshindwa nini kuwaambia mpaka unaandika humu.
Unaelewa maana ya jamii forum?
Umeshindwa nini kuwaambia mpaka unaandika humu.
kwanini. mnaenda kusoma vyuo vya na na hii? mnalazimishwaaaa?
Wadau,
Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.
Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.
Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.
Umeshindwa nini kuwaambia mpaka unaandika humu.
Sasa Kama Ada / Karo Ni Sawa Sawa Na Bure Kabisa Wakasome Wapi Tena?
Ndugu yangu wewe ni mwanaume nalijua hilo pia tambua kuwa kilicho andikwa hapa ni kwamba kwann wanatumia fimbo kuwalazimisha wakubaliane na matakwa yao?tafadhali tuwe na mitazamo ya kujenga pia ni imani yangu kuwa kwa wale wote walio pitia chuo hiki watakuwa ni mashahidi wa iki nikisemacho tuache utani kwenye mambo ya msingi,pia mimi binafsi nimechukua nafasi hii kuwa semea awa watoto kwa jinsi wanavyo nyanyasika maana inafika muda hadi wanatishiwa kuto maliza chuo yaani atafukuzwa kwa kuzushiwa kitu chochote kile kwaiyo wadau wenzangu mimi napenda sana tuwe pamoja kwa mambo yote yale yanayo iondolea jamii yetu utu na uadilifu kwa manufaa ya kizazi hiki na kile kijacho.
Vipi Principal mrehemu danda bado anaonkena hadi siku hizi?
Wadau,
Nachukua fursa hii kuonyana sisi wenye kada hii inayo husika na kulea na kukuza maadili ya wanafunzi wetu lakini kwa mambo yanayo fanywa na Wakufunzi wenzangu chuo cha St.Agrey Mbeya tuna dhalilisha taaluma zetu.
Tuache kuwalazimisha watoto wa kike kufanya ngono na sisi kwa kuwapa vitisho vya Supp na kuwapiga viboko pale wanapo enda kinyume na matakwa yenu.
Acheni tabia hizi mnaboa kiukweli mwisho wa siku wazazi watakosa imani na Chuo pia na walimu kwa ujumla tujirekebishe pia tukumbuke tumeacha familia nyumbani kwetu tafadhali tuna haribu reputation ya chuo.
Kwanza hamna saint aggrey ilo jina kalazimisha ili afanye biashara so icho ni chuo cha usanii msilalamike
mmoja kati ya wakurugenzi wa shule hii ni rafiki na brother to me , Mr Mboka MWambusi , pia Kaka tuntufye mwambusi , kama mnapat a jumbe kama hz ni bora kuzifanyia kazi , ili kutokuharibu sifa ya chuo , kwa sasa hiki ni moja ya chuo kinachotoa wahitimu wa ualimu kwa wingi na kinasaidia sana brothers fanyieni kazi hili, rudisheni imani ya chuo.