Tafakari kisha mshukuru Mungu kwa kidogo ulichonacho

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,677
Reaction score
870,407
1435333971359.jpg1435333971359.jpg
 
Ninaposema jehanam na pepo viko hapahapa duniani ndio mambo kama haya
 
Na wale wote wanaoifanya dunia kuwa jehanamu ni MASHETANI.
Ilhali wale wanaoifanya dunia kuwa pepo ni MALAIKA.

Nasomeka mkuu Mshana jr...?!
 
hivi watu kama kina bill gates ,bakheresa wakiona hawa watu sijui wanajisikiaje ? ee Mungu zidisha upendo kat yetu na waondoe katka vita ndugu zetu
 
Wanatoa sana lakini hayo mapana yake mpaka ziwafikie hawa ni shida si ajabu hata hiyo drip usikute ndio wamechangia
 
thats right mate,...watoaji wanatoa sana sema hapa katikati conduits zinakutana na loose connection inakuwa shida
 
Ninaposema jehanam na pepo viko hapahapa duniani ndio mambo kama haya

my granny once told me that the main source of unhappiness to most of us is thinking that others are happier than we are...lakini ukiangalia deep unakuta we have a lot to thank God for .....what we have and what we are....and we are way better-off than the most unfortunate....ila Mungu yupo na He wil take care of every creature of His.
 
thats right mate,...watoaji wanatoa sana sema hapa katikati conduits zinakutana na loose connection inakuwa shida

my granny once told me that the main source of unhappiness to most of us is thinking that others are happier than we are...lakini ukiangalia deep unakuta we have a lot to thank God for .....what we have and what we are....and we are way better-off than the most unfortunate....ila Mungu yupo na He wil take care of every creature of His.

Upo sahihi sana Capt Nemo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom