Nahitaji mbwa aina ya German Shepherd au Pitbull (Dume na Jike)

Nahitaji mbwa aina ya German Shepherd au Pitbull (Dume na Jike)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707
Sifa zao

- Wawe PURE BREEDS
- Wawe na umri usiozidi miezi mitano
- Wenye furaha na Afya tele

- Best medical care attention (record documents ziwepo for proof).

Mwenye nao na anayehitaji tufanye biashara anicheki PM.

Asanteni

tuma picha hapa wadau. pili tupe historia ya wazazi wa hao 'puppies'. wasije kuwa dada na kaka wakazalishana
 
tuma picha hapa wadau. pili tupe historia ya wazazi wa hao 'puppies'. wasije kuwa dada na kaka wakazalishana

Picha za Pitbull ni hizi hapa
kwahiyo chagua mwenyewe
9k=
pitbull1.jpg
angry-pit-bull-2-teeth-92f1240bfd113053.jpg
American+Pitbull+Dog+0.jpg
 
Kuna yule mzee alikuwa kikosi cha mbwa wa polisi Kilwa Road huwa anauza. Wanafika hadi million moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom