Picha za kustaajabisha

Picha za kustaajabisha

mkuu Excel walio mahiri zaidi ni wapi? ni wapiga picha au wapiga picha waliowapiga wapiga picha?
 
Last edited by a moderator:
mmmh hy ya mwanajeshi unaweza jikojolea kama huna moyo
 
Nyota njema huonekana asubuhi...
10403108_501731029978299_8466396890469865816_n.jpg
Dogo katisha, kawazidi wote!
 
mmmh hy ya mwanajeshi unaweza jikojolea kama huna moyo

Inategemea aisee, kama una experience na kazi wala hautoogopa kitu! lol lol.. mbele ya kifo lakini?
 
Mdau huyu ndo kiboko yao kudadadeki anaitwa al ustadh bin shudal bin noor bin safari bin waaatahyatu izaya mtoka pabaya yuko nangadi huko sidade de nampula
 
Attachments

  • 1435328779933.jpg
    1435328779933.jpg
    63 KB · Views: 1,168
Mdau huyu ndo kiboko yao kudadadeki anaitwa al ustadh bin shudal bin noor bin safari bin waaatahyatu izaya mtoka pabaya yuko nangadi huko sidade de nampula

Ametisha..
Ila bado sana kuwafikia hawa mkuu!
Mapoz ya hawa ni fantastic and dangerous..

attachment.php
 
Kibongo bongo ni mara chache sana kukuta ndege anatua kwenye mwili wa mtu hivi hivi..

We are not animal/birds friendly sana..

Kweli maana hata tukifuata na nyuki mmoja tunavyomfukuza mpaka basi wakati wataalamu wanakuambia unamwacha tu anatambaa mwenyewe alafu anaondoka bila kukudhuru na the same kwa wanyama pori hutakiwi kumpiga zaidi ya kumfukuza kidiplomasia maana ukimpiga tu tayari anajua adui yake ni binadamu na ndio maana wazee wa wanyama pori kama watamjeruhi mnyama watahakikisha wanamtafuta mpaka wanamuua vingine atakuwa ni mnyama wa visasi
 
Hiyo mi kamera bei kinoma...
Mkuu nilikuwa nawaza endapo Bongo movie wangepata mashine kama hizi, wangeweza kweli kutengeneza movie kali? Au movie si kamera pekee?
 
Kweli maana hata tukifuata na nyuki mmoja tunavyomfukuza mpaka basi wakati wataalamu wanakuambia unamwacha tu anatambaa mwenyewe alafu anaondoka bila kukudhuru na the same kwa wanyama pori hutakiwi kumpiga zaidi ya kumfukuza kidiplomasia maana ukimpiga tu tayari anajua adui yake ni binadamu na ndio maana wazee wa wanyama pori kama watamjeruhi mnyama watahakikisha wanamtafuta mpaka wanamuua vingine atakuwa ni mnyama wa visasi
Asante kwa elimu mkuu! Hawa wanyama kwa wenzetu ndo maana wanafanya mambo mengine mazito sana ambayo binadamu anayafanya. Sisi huku mnyama kalelewa katika mazingira ambayo si rafiki kabisa na binadamu. Nadhani ni ukosefu wa elimu tu ndo tatizo linalotusumbua na hivyo kupelekea kuishi na wanyama kinyama sana..
 
Kumbuka huyo ni Dubu ati,

Ila nadhani ni uoga tu tata.
Kama wamasai wanaweza kuwafukuza simba zaidi ya 5 na kuchukua nyama, kwanini hawa washindwe kusimama kwa umoja mbele ya dubu?

Hahaa! Inahitaji moyo wa kivita lakini.
 
Back
Top Bottom