Hakuna majibu sahihi udom tuko makini sana ndio maana nasema nyie mwambie ajirekebishe ila kama mna tetea msicho kijua subiri wana tarime wakasirike.kulipwa na mgodi kwa uongo ni kosa na maeneo wana wadanganya wasio elewa.
Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa...
Pole sana enyi wavivu wa kufikiri juu ya makamanda makini mrema,waitara na singo benson.fuata haya ujue usiyo yajua yakupe mwanga.john mrema ni mwanachama wa chadema tangu akiwa chuo kikuu cha dsm.huko udsm mrema alikuwa waziri mkuu chini ya mwita mwikwabe waitara kama rais na hata baada ya...
jussa aendelee na fitina kwa hamad rashid ndio kazi aliyopewa na maalim seif pamoja kulinda ndoa ya mkeka mambo ya chadema yatasemwa vizuri na chadema wenyewe.
Sikubaliani na hoja kwamba madrk wa kijeshe wana posho ya laki na wa kiraia hawana.kwanza hata jeshi linalipwa na serikali na hili jeshi limekuwa likitumika kwa manufaa ya watu binafsi mfano biashara ya meremeta na mgodi wa buhemba nk.hivyo kuwa na matabaka hapa sii sahihi watu wapewe stahiki...
Taarifa zilizo nifikia za kuaminika ni kwamba ccm kuanzia juma tano wataanza kupita nyumba kwa nyumba wakigawa fedha.taarifa imepatikana katika kikao cha pamoja na mgombea wa ccm mohamedraza kilicho fanyika katika shehia ya mpapa.hii inawezekana kwa sababu jimbo la uzini lina wapiga kura 8000 na...
Pamoja na ukweli wa dr kitila mkumbo leticia ghati musore alipata kura 3 katika baraza la wanawake tarime na hivyo kukosa uungwaji mkono kwao anakotoka.pili yeye alitaka mfumo kama wa ccm kwamba ukiwa mkt au katibu mkuu basi moja kwa moja unapata ubunge kama walivyo ccm!hata hivyo john heche ni...
Kumbukeni tu kwamba haki haijawahi kushindwa ila huwa inacheleweshwa tu watu wavute subira tanzania mpya itazaliwa 2015 tuwaombe watanzania wauone ukweli huog
Think big again.john heche hakuwahi na wala si mvumilivu ila kwa kuwa hujui pole nikupe kidogo.heche alikuwa diwani wa tarime mwaka 2008 kumbuka kulikuwa na uchaguzi mdogo wa mbunge na udiwani kamanda waitara alipotoka ccm aliwanadi wote.heche ndiye alimshawishi leticia atangulie na yeye anaenda...
Hapa napo kuna ujinga na ushabiki mwingi huyu cecilia aligombea na wanawake wote tanzania wa chadema kisha majina yote wa kwanza hadi wa mwisho yakapelekwa tume ya uchaguzi sasa tume wanafuata ile list na wala chama hakiulizwi wala kuhusika.kwanza kama kuna habari ya upendeleo au ukaskazini kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.