Kwa sasa Zitto analiomba bunge likubaliane na ombi lake la kupokea taarifa ya mgomo wa madaktari toka kwa waziri mkuu kisha ijadiliwe mjengoni.
SOURCE. Bungeni live TBC
Kwa sasa Zitto analiomba bunge likubaliane na ombi lake la kupokea taarifa ya mgomo wa madaktari toka kwa waziri mkuu kisha ijadiliwe mjengoni.
SOURCE. Bungeni live TBC
Spika amesema serikali itatoa taarifa yake na kama itajaliwa au lah..ataamua yeye!
UPDATES;
Ni kwamba mkulu ameomba na ameshapelekewa madai ya madaktari kwa hiyo issue iko juu ngazi ya juu zaidi!!
KINGINE, PM ameomba akutane tena na viongozi wa kamati ya mgomo leo ofisini kwake, ila wamemjibu kwamba awaruhusu kwanza wakae kikao (ambacho alipiga marufuku) ili Madaktari watoe mapendekezo nini wamwambie waziri mkuu kwani wao ni wawakilishi tu!!
Ndio matatizo ya viongozi wetu, anasema kabla ya kufikiri. Kufikiri kwao ni jambo la ziada lisilo na umuhimu. Mnakumbuka mkulu aliwaambia wafanyakazi sitaki kura zenu? na baada ya siku akakana kauli yake na kuwapigia magoti watumishi ili wampe hizo kura.Pinda kweli amepinda anataka kukutana na kiongozi gani wakati kesha mtukana sana Ulimboka ambaye ana aminiwa sana na wenzake sasa na wao hawana mwingine zaidi yake itakuwaje na Pinda alisema kwanza Ulimboka ni nani sasa yuko tayari kumtambua ?
Limeahirishwa kwa hiyo leo posho wanapokea nusu au maana wamekaa kikao cha asubuhi tuuuu!!
Tuombe kheir itawale shari. mambo yaende salama.
kama ni mpaka kesho hapa pesa ya wananchi inateketea ina maana siku imepotea na si ajabu wakaifidia siku ya j.mosi posho Tshs 330000/= per day x 325 wabunge=107,250,000/=,ok tutafika tu.
limeailiswa = limeahirishwa
kwa Kiswahili "classic" limeakhirishwa.
Kwa sasa Zitto analiomba bunge likubaliane na ombi lake la kupokea taarifa ya mgomo wa madaktari toka kwa waziri mkuu kisha ijadiliwe mjengoni.
SOURCE. Bungeni live TBC
Hakuna posho nusu, lazima wakamate posho kamaili. Maana walikuwepo Bungeni.
Limeahirishwa hadi muda gani? Asante kwa taharifa.
Hilo tatizo ulilo libold linaitwa KUROPOKANdio matatizo ya viongozi wetu, anasema kabla ya kufikiri. Kufikiri kwao ni jambo la ziada lisilo na umuhimu. Mnakumbuka mkulu aliwaambia wafanyakazi sitaki kura zenu? na baada ya siku akakana kauli yake na kuwapigia magoti watumishi ili wampe hizo kura.
Ndio tatizo,kunena kwanza fikra baadae.
Bila shaka ww ni mrundi wala si mtanzania !