Heche anawasaliti Tarime mara ya pili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heche anawasaliti Tarime mara ya pili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by saguge, Feb 19, 2012.

 1. s

  saguge Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka 2010 Heche na ndg zake walikimbia tarime baada ya kushindwa kura za maoni na kupokea pesa na maelekezo kwa mama kabaka ilikupunguza nguvu ya CHADEMA kwa lugha rahisi ni kwamba mateso ya watu wa Tarime Nyamongo, risasi za kanda maalumu ni usaliti wa Heche na mwera kwa kutokubali kushindwa na kwamba uongozi ni kijiti.

  Mimi ni mkurya wa Sirari nasoma UDOM nimefuatilia hali ya Tarime juzi nikaambiwa eti Heche na Ester Matiko wameungana wamenunua ardhi Nyamongo wamepanda migomba ili walipwe na mgodi na kwa sasa Heche wana hiace tatu zina simamiwa na mdogo wake Mseti na Chacha Heche.

  Maswali muhimu na yanataka majibu ni kwamba kilio kikubwa kwa wanyamongo ni mgodi sasa kama mtu ambaye anajinasibu kama anaweza kuwasemea ni fisadi na amekwisha lipwa na mgodi atakuwa tena na sauti kuhoji mgodini? Kwa sababu kupanda migomba ili ulipwe ni wizi unapaswa kulipwa vitu vilivyo kuwepo si vya kutega kwa makusudi.

  Pili Heche anasema uchaguzi ujao hatishwi eti atakuwa na pesa sana kwanza CHADEMA imekuwa mstari wa mbele kupinga matumizi ya fedha katika uchaguzi sasa heche wana hiace tatu, yeye mwenyewe anajua kwamba hana kazi na wala CHADEMA halimlipi ila ana piga mizinga sana kwa wabunge, ndg yake Chacha Heche hana kazi wala biashara watu wa Tarime nilikuta wana hoji kumbe hawa vijana siasa ni mtaji kwao mara hii magari, majigambo, vijembe mtaani kama wakati wa udiwani hivyo ninapenda kumshauri kaka yangu kuwa asipoteze muda na hoja ya kugombea Tarime wamegundua yeye ni mnafiki na anatafuta namna ya kupata pesa si utetezi na wanapanga kumfanya kama Nyambari kwa sababu wote ni wachumia tumbo!
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Acha roho mbaya dogo.
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mh!! Sijawai kusikia hili,nadhani inapaswa aje atolee ufafanuzi hii hoja..ni nzito na inaweza chafua hali ya hewa kwake na kwa chama chetu.Kama ni kweli ngoja tusubiri itafahamika tu.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,770
  Trophy Points: 280
  kuwa na hiace tatu ni hoja nzito huko tarime???
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hayo sasa Majungu,Chaha alikuwa na Magari hata kabla John Heche hajawa diwani,ina maana ikipanda tu Migomba unalipwa na Mgodi? Hapo U dom uansoma Sayansi kimu na Majungu? Sirari hawapo hivyo muulize mama we ni wa wapi
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Ungekuwa na busara kubwa sana kama ungongea na yeye privite lakini hapa unatka kumdhalilisha na inaonekan ni chuku binafsi
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  CHADEMA na siasa za kuchumia tumbo....Hata hivyo SAGUGE tambua kuwa siku hizi uzalendo umekwisha kwa watu, kila mtu anajiangalia yeye na familia yake...kama ulitegemea HECHE ataleta maendeleo yoyote kwa wana Nyamongo ujue ndiyo hayo ya Hiece tatu na usubiri ataongeza zingine.
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,243
  Likes Received: 2,925
  Trophy Points: 280
  Heche km vp aje ajibu hoja lakini si vema kumshambulia mleta thread.
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  HECHE mkiti wangu hebu tolea ufafanuzi kuhusu hili. Mwenye namba yake aweke
   
 10. k

  kiche JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa mtazamo wangu na wewe mwenyewe umesema taarifa hizi ni za mtaani!!!!hivi kweli msomi mzima unaweza kutoa madai ya ajabu kiasi hiki kwa taarifa za mtaani!!??pia inanishangaza kwenye taarifa yako moja unatoa kauli 2!unadai wanapanda migomba ili walipwe na hapo hapo unasema wameshalipwa!!!hapa tushike lipi.

  Pia unashangaza kusema kuwa walikimbia Tarime!!kwani mgodi wa nyamongo upo wilaya gani!!??watakimbiaje na bado wawe na shamba kwenye wilaya waliokimbia!!!

  Naomba nikusaidie kidogo kuwa nje ya wilaya si kukimbia!!maisha ni maangaiko ndiyo maana hata wewe upo UDOM (kitu ambacho sina uhakika nacho kwa jinsi ulivyoonyesha uwezo mdogo katika kujenga hoja),navyojua heche ni mwenyekiti wa bavicha ambapo ofisi zipo Dar,je ulitaka abaki Tarime wakati kazi zake hazimruhusu kuwa huko?

  Inashangaza unaonyesha mtu na sura mbili!!unadai hana kitu anapiga mizinga wabunge!!wakati huo huo unataka kutusadikisha kuwa ana pesa!!

  Ndugu yangu nenda kajipange,tafuta taarifa zilizokamilika ili tuwe kwenye wakati mzuri wa kutoa kauli za kujenga si majungu,kumchanganya mwera ambaye yupo cuf na heche kwa wakati mmoja inaonyesha ni kama vile upo upande wa mwita mwikwabe,siasa za ukoo hazitawasaidia watu wa tarime na hata kauli yako eti unatoka sirari ina ukweli kidogo sana,umesema hivyo ili kuonyesha kuwa wewe si wa ukoo tofauti na heche!!kaa mkijua kuwa kwa utaratibu huu wa kikoo unaowatawala kuiondoa ccm kwenye hilo jimbo itakuwa ndoto,Tarime eleweni kuwa mnatukera sana sisi wataka mabadiliko,mnapiga hatua 5 mbele mnarudi nyuma hatua 7!!!
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi wa Bavicha unatoa watu roho mpaka leo? Jamani kubalini kushindwa yaishe
   
 12. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  hakuna cha kujibu hapo,wivu na roho mbaya zimemjaa mleta mada.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,409
  Trophy Points: 280
  who is heche? huyu wa JF?
   
 14. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  mkuu umeona,huyu mkurya wa wapi?kijana acha wivv na roho ya kwa nini.soma na wewe ununue vijigari vinavyo kutoa roho.
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  We mleta thread ukome na umbea wako. Kama kitu hujui si uulize? Unapata faida gani kumchafua mtu jukwaani hapa bila sababu? Au umetumwa?
  Kwa taarifa yako, Hiace hiace zilizopo ni mbili na hizo zote ni mali ya kaka yake Heche ambaye ni Mwanasheria NEMC.
  john Heche namfahamu, hana UKWASI wa kiwango hicho.
  Usiruhusu m.at.ako yafikiri badala ya Ubongo! Period!
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nilivyomuelewa mleta mada ni huyo Heche kuwa na Hiace tatu baada ya kuingia kwenye siasa. Kwa hiyo mtaji wake kisiasa ni kujichumia mali yeye binafsi (kama ilivyo kwa wanasiasa wote wa Tanzania) na si kuwatumikia wananchi.
   
 17. B

  BILLY2TRY Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Unauliza swali au unatoa taarifa? ulichoeleza ni majungu na chuki zako binafsi!! wakati wa uchaguzi ulipiga kura au unalalamika tu? Hiace 3 ni issue!!!
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Naona vijana mmekosa maswala mhimu ya kuyaleta hapa Jf!
   
 19. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo UDOM hapakufai nenda Milembe
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  huu mtandao cku hizi umejaa watu wenye majungu majunguuuuuuuuu!
   
Loading...