Yanayoendelea Uzini, Kampeni za CHADEMA-Picha

Siku nyingine ukipiga picha piga oblique photoe sio ground photoe maana hapo tumeshindwa kujua watu waliitikia vya kutosha kiasi gani? Hata Hivyo inaonekana kazi bado ni pevu huko.

Hilo lilizingatiwa kama nilivyosema nikipata net ya uhakika nitaweka zingine hapa wakuu
 
Mkuu Mpemba Mbishi=Mji Mkongwe=Kadogoo= Malaria Sugu

Naapa kwa jina la Mungu, mimi nikiwa kama Muislamu ambaye naamini Mungu Mmoja ambaye Hakuzaa wala Hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano Wake, mimi sina uhusiano wowote na watajwa wa hapo juu na pia siwajui kabisaaaaaa! Kazi kwenu sasa.
 
Wanaopiga kelele watu wachache ka inchi kenyewe kako wapi? tukiwahesabu watu wote including watoto hawafiki hata laki.

Mbona ueleweki mara Cuf wasije Arusha, mara Zanzibar hakuna watu, kama yote hao mlikuwa mnayajua kwa nini wamekwenda Zanzibar?
 
naapa kwa jina la mungu, mimi nikiwa kama muislamu ambaye naamini mungu mmoja ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakuna yeyote mfano wake, mimi sina uhusiano wowote na watajwa wa hapo juu na pia siwajui kabisaaaaaa! Kazi kwenu sasa.

unajua huyo ni mod. Anadictate ip adress, halafu ni mshabiki mkubwa wa cdm. Kumbe maneno ya ccm ni sawa sawa tu
 
wakuu wanajf, nitawaweka picha zingine nyingi zaidi baadae. Hapa nilipo pamoja na net kuwa very slow, lakini pia wananiambia wanataka kufunga. Hakuna kuongeza muda zaidi. Nimefanikiwa kuweka hizi na kujibu hoja za watu kadhaa katika ile thread nyingine. Asanteni. Mpaka hapo baadae. Pia nitakuja kuwapatia caption ya picha hizo wakati huo wakuu.
10 waskilizaji, viongozi 15
 
Wakuu wanaJF, nitawaweka picha zingine nyingi zaidi baadae. Hapa nilipo pamoja na net kuwa very slow, lakini pia wananiambia wanataka kufunga. Hakuna kuongeza muda zaidi. Nimefanikiwa kuweka hizi na kujibu hoja za watu kadhaa katika ile thread nyingine. Asanteni. Mpaka hapo baadae. Pia nitakuja kuwapatia caption ya picha hizo wakati huo wakuu.

Asante kiongozi,gud job!
 
Wanaopiga kelele watu wachache ka inchi kenyewe kako wapi? tukiwahesabu watu wote including watoto hawafiki hata laki.

Naomba kufahamu hoja yako ipo wapi katika maelezo haya! Tafadhali twende taratibu chombo usijekukipandisha mwamba!
 
Haya sasa pazia limefunguliwa,wenye kusema cdm chama cha kikatoliki ruksa,ni chama cha kichaga sawa,nichama cha msimu haya.Ila ukweli ndiyo huo magwanda ndani ya Zenj rasmi,cheki watu walivyotulia kuonyesha kabisa nondo zinazoshushwa hapo zinawaingia vilivyo,heko Bavicha,Mbowe,Slaa na makamanda wote Mwenyezi Mungu awajalie afya njema na maisha marefu katika harakati zenu,hiyo nikazi ya ukombozi ambayo Mungu ameianzisha kupitia mioyoni mwenu msiisaliti na amini nawaambia kwa sisi tulioko huku mitaani na tunanafasi ya kuongea na watu wa kada mbalimbali na waeleza kwa uwazi kabisa watanzania wengi sana wako nyuma yenu na wana matarajio makubwa mno na cdm,ukiacha hizi porojo zinazopigwa na wachache hapa jf na kwingineko
 
Tunapozungumzia idadi ya watu waliojitokeza lazima pia tuangalie population ya eneo husika. ukifanya calculations unaweza kuta, asilimia ya wapiga kura waliojitokeza pale ni kubwa kuliko ile ya wale wa Arusha mjini. Sina hakika kama Uzini ina wapiga kura zaidi ya elfu kumi. pia kumbuka hawa hawakukodishwa kutoka majimbo mengine kama CCM Na CUF wafanyavyo kunogesha mikutano yao.
 
Hadi sasa mgombea wa ccm ameondolewa kwa pingamizi hivyo mapambano ni kati ya cuf na chadema magamba pole.wanao kariri pole na mlie tu.
 
attachment.php


Akina mama wamejikomboa huko Visiwani, bila shaka FaizaFox alienda kuwazindua
 
Tunapozungumzia idadi ya watu waliojitokeza lazima pia tuangalie population ya eneo husika. ukifanya calculations unaweza kuta, asilimia ya wapiga kura waliojitokeza pale ni kubwa kuliko ile ya wale wa Arusha mjini. Sina hakika kama Uzini ina wapiga kura zaidi ya elfu kumi. pia kumbuka hawa hawakukodishwa kutoka majimbo mengine kama CCM Na CUF wafanyavyo kunogesha mikutano yao.

Uko sahihi mkuu,hapo hakuna TOT,Orijino komedi wala ubwabwa na believe me kama chaguzi ndogo zitaendelea kuwepo usitarajie ccm watakuja zindua kampeni zao kabla ya cdm never ever ni lazima wapime upepo kwanza,ccm hawana kabisa ubunifu kwa hiyo mipango yao ni kujihami zaidi dhidi ya aibu yoyote inayoweza letwa na cdm,lakini makamanda wanapasua katikati ya misitu minene bila kujali aina ya wanyama waliomo na huu ndiyo uanaume,kwakweli binafsi I like this kind of bravely
 
Zenj na Pemba bado hawajui moto wa Chadema, sasa ndo baragumu linaanza kusikika, muda si mrefu waliojitawaza visiwani wataanza kuweweseka. Cha ajabu wakandamizwaji zaidi visiwani ndio waiojitokeza zaidi ni dalili hao ni wajumbe watakaofikisha ujumbe kwa wenzao.
 
Nimeongea na jamaa yangu kutoka Uzini, Unguja, alikuwepo kwenye mkutano wa Chadema kasema ni aibu bila kumungunya maneno watu waliofika walikuwa 28 tu.

Kina mama ndio wengi walikuwa 12 na watoto wao kiukweli Chadema walikuwa wakahutubiana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom