Serikali ya CCM yabwagwa na makada wa CHADEMA

kisheria maana yake ni nini hapo? mshtakiwa alitangaza kukamata malori yenye kura zilizokwisha pigwa in favor ya JK....mshtaki akasema mshtakiwa muongo...mahakama ina-rule kwamba mshtakiwa hana kesi ya kujibu!! wanasheria naomba msaada wenu.

Kwenye kesi ya jinai aliyekwenda mahakamani(Prosecutor on behalf of gvt)ndiye anayepaswa kuithibitishia mahakama "without any reasonable doubt"kuwa mshtakiwa(mwana CHADEMA)alisema uongo na hivyo kuhatayarisha usalama wa nchi hivyo wafungwe jela!

Technically;CHADEMA wanaweza wakatumia amri hii ya mahakama kuwa ni ushindi mkubwa kwao na wakaanza hata kujitapa mahakamni kuwa walichosema ni kweli tupu na bila wasi wasi wowote hawawezi tena kufikishwa mahakamni kwashitaka hilo hilo kutokana sheria ya'double jeopard'!
 
Je Padre au wapambe wake walishindwa kupiga picha haya magari na kubainisha hadharani. Je walitaja namba za usajili wa hayo magari?

Kimantiki yoyote hiyo kesi haikuwa na mashiko kwani watu walitoataarifa tu kiumbea umbea na kukosa ku document.

Kilichatakiwa na Padre kuthibitisha kauli yake kwa kusema gari gani, namba za gari, na time gani lilipita pale mpakani na kuingia Tz na hayo mabox ya kura.

Hapo itakuwa rahisi kufikishwa mahakamani kwani mwenye gari atakuwa sahihi kabisa kutaka uthibitisha ikiwemo pamoja na idara ya ukaguzi ya forodha pale Tunguma.

Ni wakti wa Padre kuthibitisha maneno yake kuwa yu sahihi.
 
Were wera weraaaaaaaaaaaaaaaaa...
Magamba kwisha habari yao...
aibu nyingine tena
 
Nakumbuka kuna member mmoja humu alijulikana kwa jina la ''wa 16'' alikuwa anashusha data kibao juu ya masanduku hayo.....siku hiyo yalipkamatwa kule tunduma...wapi wa 16?!!!
 
Je Padre au wapambe wake walishindwa kupiga picha haya magari na kubainisha hadharani. Je walitaja namba za usajili wa hayo magari?

Kimantiki yoyote hiyo kesi haikuwa na mashiko kwani watu walitoataarifa tu kiumbea umbea na kukosa ku document.

Kilichatakiwa na Padre kuthibitisha kauli yake kwa kusema gari gani, namba za gari, na time gani lilipita pale mpakani na kuingia Tz na hayo mabox ya kura.

Hapo itakuwa rahisi kufikishwa mahakamani kwani mwenye gari atakuwa sahihi kabisa kutaka uthibitisha ikiwemo pamoja na idara ya ukaguzi ya forodha pale Tunguma.

Ni wakti wa P
adre kuthibitisha maneno yake kuwa yu sahihi.

Mkuu;umesoma mada au ulikuwa na hamu ya kutoa pombe zako za jana hapa?
Naona umeona kumwita kwa title yake ya SLAA itampa credit,kuliko hiyo ya kwenye red...akili za panzi tupu!!!!
 
Jamani kwani hakuwa Padre? Mbona ndugu yangu Privatus karugendo tunaendelea kumwita Padre mpaka leo. Au Kardinali Rugambwa tunamwita hivyo mpaka leo.

Kumbuka hiyo ni sacrament ambayo aliitwaa ni lazima tuiheshimu kama tunavyoheshimu U Dr wake.

Sioni kama ni kosa kumwita hivyo. Sijui wewe unasemaje?

kama siasa wengi wanatumia vyeo hivyo kuna Mchungaji Dr Rwekatare, Mchaguja Mb wa Iringa town na hata wa lile jimbo lake la Karatu naye ni mchungaji.

Nisahihishe kama nimekosea. Ruhsa

Je Padre au wapambe wake walishindwa kupiga picha haya magari na kubainisha hadharani. Je walitaja namba za usajili wa hayo magari?

Kimantiki yoyote hiyo kesi haikuwa na mashiko kwani watu walitoataarifa tu kiumbea umbea na kukosa ku document.

Kilichatakiwa na Padre kuthibitisha kauli yake kwa kusema gari gani, namba za gari, na time gani lilipita pale mpakani na kuingia Tz na hayo mabox ya kura.

Hapo itakuwa rahisi kufikishwa mahakamani kwani mwenye gari atakuwa sahihi kabisa kutaka uthibitisha ikiwemo pamoja na idara ya ukaguzi ya forodha pale Tunguma.

Ni wakti wa Padre kuthibitisha maneno yake kuwa yu sahihi.

Na wewe kitoe kule ukisha lewa mirungi yako na kuvimbiwa nyama ya nguruwe ukisikia Chadema au Dr. Slaa lazima ubwatuke,kwanza mambo ya Tanganyika yanakuhusu vipi we mbwiga?
 
Kwa Lugha rahisi ni kwamba, MAHAKAMA imethibitisha kuwa CCM iliingiza masanduku ya kura yenye kura zilizowekewa vema kwa Mh. Kikwete!..au sku hizi naanza kuzeeka!
 
Je Padre au wapambe wake walishindwa kupiga picha haya magari na kubainisha hadharani. Je walitaja namba za usajili wa hayo magari?

Kimantiki yoyote hiyo kesi haikuwa na mashiko kwani watu walitoataarifa tu kiumbea umbea na kukosa ku document.

Kilichatakiwa na Padre kuthibitisha kauli yake kwa kusema gari gani, namba za gari, na time gani lilipita pale mpakani na kuingia Tz na hayo mabox ya kura.

Hapo itakuwa rahisi kufikishwa mahakamani kwani mwenye gari atakuwa sahihi kabisa kutaka uthibitisha ikiwemo pamoja na idara ya ukaguzi ya forodha pale Tunguma.

Ni wakti wa Padre kuthibitisha maneno yake kuwa yu sahihi.

Barubaru;

kwenye kesi ya jinai ni mshtaki(serikali)anayepaswa kuthibitisha kuwa alichosema Dr Slaa si kweli;na wala sio Dr Slaa athibitishe alichosema ni kweli!

Nahisi unachanganya na kesi za madai hasa endapo CHADEMA ingeamua kwenda mahakamani basi mshtaki(Dr Slaa)ndiye angepaswa kuithibitishia mahakama(preponderance of evidence)kuwa alichosema ni kweli!kesi za madai hazina waendesha mashtaka!

Kwenye kesi hii Jamhuri ya Muungano wa TZ IMESHINDWA KESI!
 
majaji gani hawa hawajitakii mema, kama wametenda haki ashukuriwe Mungu na wao pia, cdm endeleza mapambano kieleweke
 
Kumbukeni tu kwamba haki haijawahi kushindwa ila huwa inacheleweshwa tu watu wavute subira tanzania mpya itazaliwa 2015 tuwaombe watanzania wauone ukweli huog
 
Back
Top Bottom