Recent content by sagara sagara

  1. S

    Tabia kanishinda, nimemuachia kila kitu ila bado ananisumbua. Nifanyeje?

    Habari zenu wadau Nilipata binti nikazaa naye badae kuamua kuishi naye , kumbe kipindi cha uhusiano wetu kabla ya mimba na kuzaa na kumchukua alikua na vitabia vya ajabu ajabu ambavyo alivificha ila nilipoanza kuishi naye tu akaanza vituko kiukweli nilichoka nikaona siwezi nikabeba begi langu...
  2. S

    Hakimu mkazi au resident magistrate ni nani?

    iko hivi hizi mahakama zimepangwa kulingana na makosa na uwezo wa mahakimu katika kuamua kesi na ukubwa wa kesi mfano 1)Mahakama ya Mwanzo. Hapa huamuliwa kesi za madai tu huwezi kukuta jaji katika mahakama hizi na mala nyingi mahakimu wake ni wenye elimu kiwango cha diploma mpaka degree moja...
  3. S

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Sanga tupandishie na tarifa za maendeleo ya kata ya nzega magharibi kwa mwaka 2016/2017 tuone upinzani wamefany nini uko
  4. S

    Raisi wangu magufuli chonde chonde usirudie Yale yale

    Angekuwa na nia njema angetutolea bashite
  5. S

    Rais Dr. Magufuli anaungana rasmi na Mwl. Nyerere na Mzee Mugabe

    Mzee kagusa batani isiyoguswa ngoja tuone
  6. S

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Tumefurahi umerudi bwana sanga ,miye na swali tena kwako kituo cha mabasi vipi mbona washindi wa zabuni za ujenzi mpaka sasa hawajatangazwa wakati watu waliochukuliwa viwanja vyao tunambiwa tayali washalipwa fidia zao jambo gani linakwamisha kutangazwa washindi wa zabuni tuambieni tujue
  7. S

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Uongozi wa Jamii forum tuambieni Joseph Sanga yupo wapi mambo mengi jimboni yakimaendeleo jimboni yanaendelea tuliambiwa shule ya Bulunde itanza kazi mwezi wa saba sasa kuna tetesi haianzi kazi mwezi wa saba Je ni kweli kitu kingine stand mpya mpaka leo hatujui kitu kinacho endelea zabuni zipo...
  8. S

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Nzega

    Miye na swali kuhusu hiyo shule ta Bulunde kuanzisha kidato chi tano Na cha sita nataka kujua hao wanafunzi watakao chaguliwa kwenda kusoma hapo je ni wanafunzi watakao toka katika jimbo la Nzega mjini kwa mbunge Hussen Bashe au ni wanafunzi kutoka sehemu tofauti tofauti inchi nzima...
  9. S

    Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

    Wadau mna mawazo mazuri sana hii ndio raha ya Jf
  10. S

    Rais Magufuli azindua kiwanda cha Saruji cha Dangote, ataka Dangote apewe eneo la kuchimba Makaa

    Kweli hivi vituko yeye kujiari hataki alafu anasema dangote ajiri alipe kodi sasa hizo kodi zinaenda wapi maana kila secta njaa tupu au anampa Daudi bashite akale bata marekani
  11. S

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Acha ukilaza wewe unasifia ujinga au na nyie ndio wale wale shule hakuna ila mmekalia madaraka
  12. S

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Acha uTE="mwengeso, post: 19993790, member: 261462"]RC Makonda kwa mtizamo wako huo, hakika wewe ni kiongozi shupavu na imara. Pia kuupuzia upuuzi unaoandikwa kwenye mitandao ya kijamii na kuhubiriwa madhabahunj, Acha ukilaza wewe watu wanapopiga kelele wana maana si wapuuzi
  13. S

    Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

    Poleni na majukumu ya kulea watoto Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has auishi naye kwanini nasema hivi Kuna mamba haya ambayo huwa yananitatiza Mwanaume kazaa na binti...
Back
Top Bottom