Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Naungana na raisi katika juhudi zake za kupigania Tanzania yetu.
Leo kwenye ripoti ya pili ya kujua ukweli juu ya makinikia moja ya mapendekezo yake ni kuweka hadharani mikataba yote ya madini ili ijadiliwe na bunge.
Naomba raisi wetu JPM ili yasijirudie Yale Yale ya watangulizi wako uweke WAZI mikataba ya mambo makubwa yanayofanywa ndani ya awamu hii
mfano;Ununuzi wa ndege zote,
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ( dar-moro) na mwingine mingi chini ya awamu hii ya tano!
Nadhani kama taifa tutakuwa tumefika mahala pazuri pa uwazi na ukweli!
Vile vile itawasaidia hata awamu zijazo baada yako kupiga mfano huu mzuri utakua uanza!
Kuliko kusikitika kama tumeibiwa sana ilhali tu naendelea kufanya Yale Yale yaliyotufanya tunaibiwa!