Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

Naomba kuuliza wadada mliozaa tu

Sisemi usimsikilize ila na yeye huyo mzazi mwenzio ana chukua advantage anajua una respond vizuri anajua weakness yako iko wapi,hana jipya zaidi ya wivu unaomsumbua anadhani kukupelekesha hivyo ndio sawa,chakufanya kaanae chini talk to her like a Man kua hutokua nae mda wowote aanaposema yeye as kuna mda unakua kazini,au na mishemishe zakutafuta maisha,na hata huko hospital wewe ukifika unakoingea nini wakati yeye ndio anaelala nae nakuamka nae?
timiza majuku yako kama baba lakini usi jaribu ku meet her expectations sababu huwezi nakwambia hivyo wengi wetu wanawake wanajaribu kukupelekesha wakikuona unaelekea..
 
Kwa nini umezaa kabla ya ndoa kwanza!?
Wakati wa kuiweka hiyo mimba muda ulikuwa nao tele saa hizi kumpeleka mtoto hospitali ndio unakuwa huna muda kweli?
Huyo mzazi mwenzio yeye ndio hana kazi au kazi yake yeye haogopi kuipoteza? Au huyo bosi wako unakofanya kazi mwanaye akiumwa naye haendi kumpeleka hospitali?
Ebu muwe considerate kidogo, mtu umemzalisha, na kwa mwandiko wako huu inaonekana hujamuoa, hiyo siku moja anayotaka ushiriki katika makuzi ya mtoto wako ndio unamleta JF kumuanika!!!?
Nyie ndio mnakuja kujitambulisha uzeeni eti "mimi ndio baba yako" Ukiona mtu anajitambulisha ujue kuna kipindi katika maisha ya mwanae hakuwepo.
Pole sana ww n mhanga
Yako n.kubwa kuliko ya mleda mada
 
Vuna ulichopanda mzee
moja wapo ya mattz ya kuzaa
Nje ya ndoa ndy hayo
 
Sisemi usimsikilize ila na yeye huyo mzazi mwenzio ana chukua advantage anajua una respond vizuri anajua weakness yako iko wapi,hana jipya zaidi ya wivu unaomsumbua anadhani kukupelekesha hivyo ndio sawa,chakufanya kaanae chini talk to her like a Man kua hutokua nae mda wowote aanaposema yeye as kuna mda unakua kazini,au na mishemishe zakutafuta maisha,na hata huko hospital wewe ukifika unakoingea nini wakati yeye ndio anaelala nae nakuamka nae?
timiza majuku yako kama baba lakini usi jaribu ku meet her expectations sababu huwezi nakwambia hivyo wengi wetu wanawake wanajaribu kukupelekesha wakikuona unaelekea..
Jaamaa n kama hua hapash
Kiporo wakutanapo
 
Huyo atakuwa anataka showoff watu wajue kuwa mko wote, au ana watu wamemshika masikio
 
Lengo lake halikuwa mtoto,lengo lake kama hajaolewa abebe mimba akizani utamuoa kama hujamuoa basi kila siku atakurushia mateke kwa anuani ya mtoto,au anaweza akawa alitaka kumgeuza mtoto kama source of income,sasa yawezekana pesa unayotoa kwa Mtoto haitoshi yeye ku "keep change" nimeongea kwa experience tu but sio ke
Poleni na majukumu ya kulea watoto

Miye naomba kujua kutoka kwenu wadada mliozaa hivi jambo gani ambalo huwa mnaitaji zaidi kutoka kwa baba wa mtoto ambaye umezaa naye haijalishi unaishi naye has auishi naye kwanini nasema hivi Kuna mamba haya ambayo huwa yananitatiza

Mwanaume kazaa na binti anampa maitaji yote ya mtoto na wakipata mda wanakaa wanazungumza mambo kadhaa wa kadhaa moja yapo maendeleo ya mtoto nk, lakini pamoja na yote haya utakuta mwanamke anaanzisha kelele zisizo na kichwa wala miguu kelele hizo ni hizi

Utakuta akiwa na wageni anaitaji uende wakuone ukimwambia upo bize kelele

Mtoto akiwa na Homa anaitaji muende wote hospital, ili hali anajua wewe unafanya kazi za watu na hiyo kazi ndio inawaweka mjini ila atataka usiende kazini muempeleke mtoto hospital ukimwambia nenda pesa ya usafiri hii hapa nk chochote kikitokea nijuze ataki anataka muende wote

Eti dada zangu huwa mtaka nini cha ziada maana sielewi upendo mwingine mnaoutaka jamani kwa maisha ya kibongo bongo ni mgumu sana maana ukiacha kazi ina maana mtalala njaa.
 
Anatakiwa amweleze mzazi mwenzie yamuingie na yake kichwani ...
Huyo jaamaa nae atakua n
Bobyokwa mwanaume
Hakumbushwi ila
Viashiria vya mzaz mwenzie
Vnatosha jamaa kujiongeza
Mwenyw

Skuzote mwanamke akiwa
Anataka hua anaongea kwa matendo
Na c kwa mdomo
Kama wanaume tunavopayuka
Kwa wanawake
 
Pole sana ww n mhanga
Yako n.kubwa kuliko ya mleda mada
Ni mhanga kwa sababu kuna mtu ana akili kama za kwako alimpa mimba mdogo wangu. Alipojifungua huyo mdogo wangu na mtoto akachangamka, akaniachia huyo mtoto yeye mama mtoto akarudi shule. Baba wa mtoto yupo busy na kazi kama wewe, hata mia hatoi, mtoto hata alazwe hospitali huyo baba humuoni kuja kusalimia, ni vizuri hivyo kweli!!?
 
Huyo jaamaa nae atakua n
Bobyokwa mwanaume
Hakumbushwi ila
Viashiria vya mzaz mwenzie
Vnatosha jamaa kujiongeza
Mwenyw

Skuzote mwanamke akiwa
Anataka hua anaongea kwa matendo
Na c kwa mdomo
Kama wanaume tunavopayuka
Kwa wanawake
Jamaa amependa lakini mwanamke kuelewa ndio tatizo,sio rahisi kwa mwanamme kukubali upuuzi wote huo,lakini huyu ni mungwana sasa mdada ana chukua advantage ya penzi au heshima anayo pewa ...
 
Ni mhanga kwa sababu kuna mtu ana akili kama za kwako alimpa mimba mdogo wangu. Alipojifungua huyo mdogo wangu na mtoto akachangamka, akaniachia huyo mtoto yeye mama mtoto akarudi shule. Baba wa mtoto yupo busy na kazi kama wewe, hata mia hatoi, mtoto hata alazwe hospitali huyo baba humuoni kuja kusalimia, ni vizuri hivyo kweli!!?
Lakini hiyo case yako ni tofauti na ya mtoa mada, ndio maana hata mimi naona kama ile post ulikuwa umepaniki
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana, my x wife alikuwa hivyo, n this was one of the reasons for a divorce
 
Kuna sehemu moja wanaume wengi huwa wanakosea. Pale wanapodhani hela zao ndio muhimu katika kuwalea watoto.

Matunzo na Malezi ya watoto yanawahitaji wazazi wote wawili katika kila step ya maisha ya mtoto.

Mtoto akiumwa, waende wote spitali. Shuleni kukiwa na kikao cha wazazi wawepo wote, Katika sherehe za watoto, mashindano mfano ya michezo etc inabidi wazazi wote wawepo.

Sasa wewe unaposema kelele inaonekana ni aina ya wanaume wale hupachika mbegu tu na ikishatotolewa unakuwa 'bize' na washkaji ukijidanganya kuwa jukumu lako kama baba limeishia hapo.

Kama hamjawa tayari kuwa wazazi na kushiriki kikamilifu katika malezi ya mtoto basi muhairishe stage hiyo mpaka mtakapokuwa tayari kujitoa mia kwa mia kwa ajili ya watoto wenu.
 
Back
Top Bottom