Recent content by SACoNa

  1. S

    Hallllllllloooow!!!!

    asante chatu dume.
  2. S

    Ninakerwa sana tena mno na wanawake wanaojishaua maofisini wanapotembelewa na wateja wao

    Asilimia kubwa wametembea na mabosi wao, so wanaamini hata kama angejibu vp bado ana kazi, kwa mtazamo wangu mabosi ndo wanatakiwa wajirekebishe kwanza, wawaheshimu masekretari wao ili kazi ichukuliwe kama kazi.
  3. S

    Do you believe in Monogamy relationship?

    By the way nani anaweza kuthubutu kusema kuwa ktk maisha yake yote alishawahi kuwa na mmoja. 95% ni polygamism ingawa wana wake mmoja mmoja.
  4. S

    Wanawake vs Fedha, kipi kinaongeza dunia?

    AD Umenena. Big up sana.
  5. S

    Na huu utupwe!

    Mamaaaaaaaaaa!!
  6. S

    Babu na mjukuu

    hahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!! Mbavu zanguuuuu!!!!!!
  7. S

    Namna ya kutakana uloda mbele ya watoto

    Hahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!! Mama hapo atakuwa kagusa penyewe!
  8. S

    Wabunge wetu wataka BANGI iruhusiwe kuuzwa kukuza uchumi

    Sasa lengo ni pesa au wao ndo wanataka kuipiga?
  9. S

    Chagga janja sana tu!

    bilgate atakimbia.
  10. S

    Maswali ya watoto bwana.....

    Dah! Step by step, dadie hoyeeeee!
  11. S

    Unakijua kirefu cha DAR ES SALAAM? soma hapa!

    dogo atakuwa kaahirisha safari.
  12. S

    Wanawake Watatu!!!!!!!

    we ulisoma ya tarafa? Jibu swali acha majungu.
  13. S

    Kama ulienda shule jibu hili swali!

    maswali mengine hata wenye lugha huwatoa jasho.
  14. S

    Changudoa

    kimtazamo wangu hiyo ni hulka ya mtu tu, umasikini unazuilika endapo mtu ukaamua kufanya kazi bila kuchagua. Tuache uvivu.
  15. S

    Ni jinsi gani ya kugundua mpenzi wako kama ana mtoto nje ya ndoa?

    hatari mojawapo ktk mapenzi ni uongo, umefanya vema njia nyingine ni kujaribu kutafuta mawasiliano ya ndugu zake uwaulize kisirisiri.
Back
Top Bottom