Unakijua kirefu cha DAR ES SALAAM? soma hapa!

M'bongo

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
265
298
Kijana mmoja kutoka Manda alikuwa anang'ang'ania kwenda Dar es Salaam licha ya baba yake kumzuia, baada ya baba kuona juhudi zote za kumzuia zinashindikana akaamua kumruhusu lakini kwa kumpa usia, kwamba kabla hajaenda huko Dar ni vizuri aelewe kwanza kirefu cha jina lenyewe ambalo alilitafsiri kama ifuatavyo:

D - Dunia hadaa
A - Angalia utagongwa magari
R - Raha uliyotegemea itageuka karaha
E - Endapo utakosa kazi na kuzurula
S - Saizi yako jela
S - Siku zote itakuwa ni taabu na mawazo
A - Angalia usije ukalaumu
L - Lawama zote ni zako
A - Ambaye hutaki kusikia la mkuu
A - Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
M - Maisha utayaona magumu
 
YA PREZIDAAA HII HAPA

  1. K- Kaa chonjo na mimi
  2. I- Iba ufaidi nchi hii.
  3. K- Kama vile dowans na meremeta
  4. W- Wakati huu ni wetu CCM na wanetu
  5. E- Endelea kulalamikia serikali kama utafaidi maandamano
  6. T- Tamaa weka mbele kwa maslahi ya wanao na mabesti
  7. E- Enyi mbumbumbu yazingatieni hayo mtabaki hivyohivyo
 
hah haaaaaaa imetulia
 
duuh kweli kachokwa

hahhaahahha lol
embu mtumie muhusika
kwa zawadi ya bday mmhh
 
Kijana mmoja kutoka Manda alikuwa anang'ang'ania kwenda Dar es Salaam licha ya baba yake kumzuia, baada ya baba kuona juhudi zote za kumzuia zinashindikana akaamua kumruhusu lakini kwa kumpa usia, kwamba kabla hajaenda huko Dar ni vizuri aelewe kwanza kirefu cha jina lenyewe ambalo alilitafsiri kama ifuatavyo:

D - Dunia hadaa
A - Angalia utagongwa magari
R - Raha uliyotegemea itageuka karaha
E - Endapo utakosa kazi na kuzurula
S - Saizi yako jela
S - Siku zote itakuwa ni taabu na mawazo
A - Angalia usije ukalaumu
L - Lawama zote ni zako
A - Ambaye hutaki kusikia la mkuu
A - Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
M - Maisha utayaona magumu

futa kazi mmmhhh
nimeipenda sana lol
 
dogo atakuwa kaahirisha safari.
 
Back
Top Bottom