Recent content by sabrina_veronica

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu Pete za bahati

    mshana jr Mkuu niambie kuhusu Pete za majini,kuna uhusiano gan na majini,kuna mtu namfaham alikuwa nazo alipewa na ustadhi wake kwa ajili ya control majin yake!!,zimewai kupotea twice kwenye mazingira ya kutatanisha !!...
  2. S

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

    Duh
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maumivu yatokanayo na mpira wa kutolea mkojo

    Duuuh we jamaa sijui doc wa wapi????m nilipataga iyo kinachotokea ni Ile sindano wanayokuchoma wakati wa kuweka mpira usiwe unachomoka ndio huleta shida baadae wakati wakutoa ikiwa kama yale maji maji hayakuvutwa vizuri, mi nilirudi hospital wakanicheak wakasema yale maji yametengeneza kidonda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    mshana jr unaweza compare na contrast kati ya Krishna na Buddha???
  5. S

    JamiiForums Tanzania A day in the Buddhist college

    Mkuu mshana jr kuna tofauti kati ya ibirisi na Lucifer???!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ulimaji wa ufuta

    Habari wana Jf, Nimekua msomaji wa makala mbalimbali humu ila nimekua mchangiaji tu! Leo nakuja kwenu na uzi huu kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie jinsi ya kulima ufuta, gharama, faida, hasara, wapi unafaa kulimwa, mauzo yani changamoto zake kwa ujumla. Asanteni
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hatosheki tunapofanya mapenzi

    Mweeeeeh..........
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Mimi ndio kaka na sijui niamue vipi

    Nyumba waliojenga wote kama mume na mke inamuhusu huyo Dada ako na sheria zipo bila kusahau hao watoto wazazi wote pande mbili wanahusika kuwahudumia haijalishi wanaishi kwa nani... Fateni sheria nahisi itawasaidia zaid kwenye swala la watoto na hiyo nyumba,kuhusu ubishi wake we usichoke kuongea...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Pepo baya kwenye mirathi, limepukutisha wengi

    Aisee kuna vitu vingine vya ajabu duniani...m nayaona kwenye movie tu kama ile magic house ya kanumba nachoshindwa kuelewa ni mazingaobwe au ni uchawi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Hahahahhahaha yani wewe umeua band
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Hapo nimekupata ila kwa sasa sijui kama kuna anaeamini haya maana hata ule mvuje anaovalishwa mtoto kuepusha kushituka watu wakimuona unaambiwa mvue mtoto hirizi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Haha kwakweli
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Ni kumi kwa moja halafu asilimia kubwa ni hiki kizazi chetu wazee wa zamani huthubutu kumuacha mtoto na nywele alizotoka nazo tumboni
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Najua ni imani ila mbona kama ukimuacha mtoto akiwa analialia sana unaambiwa sababu ya nywele????
  15. S

    JamiiForums Tanzania Michepuko embu mrekebishe tone ya sms zenu, ziwe ngumu

    Hahahahaahaha
Back
Top Bottom