Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Duuuh nakumbuka kipindi fulani nikiwa gizani nilishawahi kuvaa pete hizo yenye dunguli jeusi tiii likiniletea bahati kila nilichokigusa kilikuwa kinasogea mpaka raha ila mambo yalivyoanza kwenda mrama nusura roho intoke
Ulikosea masharti
 
mshana jr Mkuu niambie kuhusu Pete za majini,kuna uhusiano gan na majini,kuna mtu namfaham alikuwa nazo alipewa na ustadhi wake kwa ajili ya control majin yake!!,zimewai kupotea twice kwenye mazingira ya kutatanisha !!...
 
aisee mi nna pete flan ya silva ina alama ya nyota me nlinunua tu kwa sonara

kaka mshana vp na za kununua kwa sonara zinaeza kuwa na majanga km utavaa?
 
Nilikua naangalia Expendable nikaona Rambo nae anachukua Luck ring yake.

Hapo nikajua kumbe hiimambo sio tu huku kwetu ni Dunia nzima.

Ila kinachovaliwa pale hata kama ni plastic haina jinsi kilichopo ndani ya ile pete ndio chenye nguvu sio materials zilizotengenezea hiyo pete.
matirio ndio ina nguvu kiongozi kwa mfano ukivaa diamond wanasema utashika ela na vile madini yote yanaendana na mwezi wa kuzaliwa na wala si uchawi ndio maana hata wazumgu wanavaa ila wabongo wanavaa chupa kutokana na gharama hawaziwezi
 
Ninavutika sana kuvaa hizi pete ila mpaka nijue maana yake ili nisijevaa vitu nisivyojua vina nn.

Kuna sehemu fulani jamaa alichukua muhudumu kalala nae muhudumu kachukua Pete na cheni na laki 2 kaondoka.

Asubuhi yule jamaa alimwambia meneja amuambie mhudumu arudishe pete na cheni maana ikifika mchana yule dada angekufa ila yy angefilisika tu na vilirudishwa.
 
mshana jr Mkuu niambie kuhusu Pete za majini,kuna uhusiano gan na majini,kuna mtu namfaham alikuwa nazo alipewa na ustadhi wake kwa ajili ya control majin yake!!,zimewai kupotea twice kwenye mazingira ya kutatanisha !!...
Ni ufunguo ni alama ni muhuri ni utambulisho ni password ya kukutana na majini
 
aisee mi nna pete flan ya silva ina alama ya nyota me nlinunua tu kwa sonara

kaka mshana vp na za kununua kwa sonara zinaeza kuwa na majanga km utavaa?
Ulinunua kana urembo? Kuna vingi huwa tunavaa bila kujua maana yake vingine vina athari vingine havina
 
Ninavutika sana kuvaa hizi pete ila mpaka nijue maana yake ili nisijevaa vitu nisivyojua vina nn.

Kuna sehemu fulani jamaa alichukua muhudumu kalala nae muhudumu kachukua Pete na cheni na laki 2 kaondoka.

Asubuhi yule jamaa alimwambia meneja amuambie mhudumu arudishe pete na cheni maana ikifika mchana yule dada angekufa ila yy angefilisika tu na vilirudishwa.
usiogope hakuna uchawi mimi nimesoma aina za madini au vito vya thamani na maana zake ziko wazi hata ukigoogle wewe vaa jiwe la kuzaliwa au la wapendanao au la furaha na kazalika hakuna uchawi tatizo watanzania akili zetu zinawaza ushirikina tu
 
Kwa mfano mtu ambae nyota yake ni Aquarius. ..anavaa madini gani?
 
usiogope hakuna uchawi mimi nimesoma aina za madini au vito vya thamani na maana zake ziko wazi hata ukigoogle wewe vaa jiwe la kuzaliwa au la wapendanao au la furaha na kazalika hakuna uchawi tatizo watanzania akili zetu zinawaza ushirikina tu
Ukisoma vema nilichoandika nimemaanisha Pete za aina zote hebu angalia hizi
1459185168489.jpg
1459185172857.jpg
1459185182357.jpg
hizi si Pete za kawaida ni Pete zenye maana maalum na daima hunakshiwa kwa Vito vya thamani kubwa
 
Back
Top Bottom